Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

INAWEZEKANA UNA HOJA ILA UMEANDIKA KIHISIA ZAIDI, LETA FACTS TUZINYAMBUE MKUU
 
Kiufupi huna akili
 
Makojo bana, btw kwanini unajiita MAKOJO! Anyways Bashe hata kuonana naye sijawahi mimi nasimama na wananchi walio wakuwa wakipata shida ya sukari... Wewe simama kwa ajili ya maslahi ya hao matajiri 7
 
K



Kuna mahali unaweza onyesha hiyo rushwa iliyofanya vibali vikatoka?
Vibali kutolewa kinyume cha taratibu inatosha kuonyesha rushwa imetumika.
Kama unakumbuka sakata la Richmond wajanja walitumia uhaba wa mvua wakaleta kampuni ambayo kweli ilideliver ikaleta mitambo na umeme wakazalisha wakawa wanalipwa vizuri na serikali.
Kasheshe liliibuka pale ilipobainika hiyo kampuni wakati wanapewa hiyo tenda haikuwa na uwezo wala vigezo vya kupewa hiyo kazi, hiyo ndiyo ilikuwa hoja kubwa hadi Lowasa akaamua kujiudhulu uwaziri mkuu.
Tatizo sio kwamba kampuni hiyo haikudeliver
 

Inaelekea hujui hata unachotetea .
Hoja ni ukiukwaji wa utaratibu wa kutoa vibali vya uagizwaji wa sukari nje pindi kunapokuwa na uhaba wa sukari viwanda vinapositisha uzalishaji wa sukari.
Utaratibu huo upo na waziri bashe aliukiuka na hilo alikiri bungeni kwamba alilazimika kutokufuata utaratibu huo ili kuwaokoa wananchi baada ya sukari kuadimika.
Mpina ndio akaibuka na hoja zake kwamba waziri kadanganya na amekituka taratibu na kuboronga kabisa hadi kuzipa vibali kampuni za kijanja ambazo hazikuwa na sifa wala vigezo vya kuagiza sukari nje.
Hizo kampuni ambazo nyaraka zake brela zinaonyesha zina hisa ndogo zimetoa wapi fedha za kuagiza sukari za kiasi kikubwa hivyo kama sio hapo tayari kuna suala la utakatishaji wa fedha na ukwepaji wa kodi mkubwa sana umefanyika?
 
Kuthibitisha huna akili. Unaambiwa kila kilo ya sukari imeongezwa bei. Halafu unasapoti kuwa kitendo hicho ni sawa kwa vile upatikanaji wake upo.
Na wewe ulivyoambiwa kila kilo imeongezwa bei ukachukua Kama kanuni ya imani... Ukasadiki kwa vinavyoonekana na visivyoonekana?
 
Watu washakula hela za wale matajiri 7 eti bashe anaua viwanda vya ndani walitaka sukari iendelee kuwa adimu..

Mama ikimpendeza bashe awe naibu waziri mkuu kabisa
Kwanini usiteuliwe wewe?
 
Shame on you stupid idiot.
 
Swali gani unauliza Hilo? Na unamuuliza nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…