Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

Kwamba ukiwa na hisa ndogo, ukapata tenda kubwa huwezi kukopa ukadeliver?
Yani mtu mwenye mtaji mdogo hapaswi kukua?
 
Mwezi wa ngapi huu?

Subiri februari uupandihse Tena huu uzi
 
Utadhibitisha umaiti wako. Mwenzako katoa tuhuma za sukari na ukiukaji wa taratibu alioufanya Waziri Bashe. Wewe unaleta hadithi za kumsema mke wa mtu. Kweli uchawa ni ujinga.
Mimi sijaongelea mke wa mtu!
Hizo tuhuma hazina maana
 
Kwamba ukiwa na hisa ndogo, ukapata tenda kubwa huwezi kukopa ukadeliver?
Yani mtu mwenye mtaji mdogo hapaswi kukua?
Naona hili swala limeshikiliwa kiushabiki wa kibiashara na kisiasa kuliko uhalisia.

( Labda ni kweli Bashe amevunja kanuni ya uingizaji bidhaa nchini, SIJUI) Lakini wanufaika ni nani ?
Binafsi mnufaika wa kwanza ni Bashe mwenyewe iwe kisiasa ama kiuchumi..
Mnufaika wa pili ni hao waliopewa vibali..
Mnufaika wa tatu ni mimi (sisi wanunuzi wa mwisho) hatimae tunanunua sukari kwa 2,800 - 3,500 /kg.

Wakereketwa ni wazalishaji wa ndani (HAWAAMINIKI NYAKATI NYINGINE)..
Wanafata wenye uchu wa kisiasa..
Kisha wenzangu na mie kila tukisikia wizi/kujipambania roho zinatuuma tunatamani tungeiba sie mali.

NB: Kama mtapita na hukumu ama uwajibishwaji wa Bashe kwa kuvunja kanuni ni sawa ,ILA bei ya sukari ibaki hii hii ya sasa 2,800-3,500.
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayari kumpa % kadhaa katika mshahara kama shukurani
 
Kwamba ukiwa na hisa ndogo, ukapata tenda kubwa huwezi kukopa ukadeliver?
Yani mtu mwenye mtaji mdogo hapaswi kukua?
Unaweza kukopa kama ukienda kuongeza shareholding.
Sasa hadi mpina amekwenda brella kufanya official searching hisa za kampuni zilikuwa ndogo.
Sio rahisi benk kukopesha kampuni yenye hisa ndogo fedha nyingi jaribu kufikirisha ubongo ndugu acha kutetea uovu
 
Kwa lazima wakope bank?
Kwani akishirikiana na rafiki mwenye fedha kufanya hiyo biashara Kuna shida gani? Hivi nyie mnataka watu wenye mitaji midogo waamkeje?
 
Kelele ni za wagalatia wazee wa mauaji, na sukuma gang
 
Kwa lazima wakope bank?
Kwani akishirikiana na rafiki mwenye fedha kufanya hiyo biashara Kuna shida gani? Hivi nyie mnataka watu wenye mitaji midogo waamkeje?
Kwa nini uipe kazi kampuni isiyo na vigezo vya kifedha bila kufata taratibu.
Hivi huoni kabisa ni tatizo
 
Watu washakula hela za wale matajiri 7 eti bashe anaua viwanda vya ndani walitaka sukari iendelee kuwa adimu..

Mama ikimpendeza bashe awe naibu waziri mkuu kabisa
Kweli kabisa,sasaivi hamna tena uadimu wa sukari
 
Kwa nini uipe kazi kampuni isiyo na vigezo vya kifedha bila kufata taratibu.
Hivi huoni kabisa ni tatizo
Wewe umeangalia data za Brela..
Je, wakati wa kupewa tenda, bank statement zao zilikuwa zinasomaje..??
Kama walisajiliwa wakiwa na mitaji midogo inamaana hawakupaswa kukua...

Late Mengi alianza biashara kwa kuuza kalamu tena analala nazo kitandani.. je leo, kampuni zake haziwezi kupewa kazi kubwa kwa bases ya mtaji wake wa mwanzo tu?
 
Huyo Msomali asipoangaliwa atakuja kuvuruga kila kitu
 
Kwani Richmond ambayo ilikuwa ya Godfather wa huyo Bashe ilikuwa haizalishi umeme??
 
Kwani Richmond ambayo ilikuwa ya Godfather wa huyo Bashe ilikuwa haizalishi umeme??
Tuache mambo ya kusadikika, Kama Kuna ushahidi wa wizi uwekwe..ila sio mambo ya kudhania. Kwamba itakuwa ameiba..tusiharibu sifa za watu, career za watu kwa chuki tu na husuda.
 
Mkubwa kampuni mtaji ukiongezeka si taarifa inapelekwa brella ili wafanye mabadiliko.
Ishu ni kwamba wakati wanapewa hiyo tenda mtaji wao ulikuwa unasoma hivyo milioni 1
 
Mkubwa kampuni mtaji ukiongezeka si taarifa inapelekwa brella ili wafanye mabadiliko.
Ishu ni kwamba wakati wanapewa hiyo tenda mtaji wao ulikuwa unasoma hivyo milioni 1
Huu mwingine ni uchawi tu!
Kwani mtaji ukisoma milioni moja hauruhusiwi kufanya biashara kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…