Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

Huu mwingine ni uchawi tu!
Kwani mtaji ukisoma milioni moja hauruhusiwi kufanya biashara kubwa?
Sasa huo ndio udanganyifu wenyewe wewe ukiwa na mtaji wa milioni moja utafanyaje biashara kubwa zaidi ya mtaji wako. Wewe jamaa vipi acha kutetea vitu ambovyo haviwezekani katika hali ya kawaida lazima kuna udanganyifu umefanyika tu
 
Tuache mambo ya kusadikika, Kama Kuna ushahidi wa wizi uwekwe..ila sio mambo ya kudhania. Kwamba itakuwa ameiba..tusiharibu sifa za watu, career za watu kwa chuki tu na husuda.
Bashe ni mwizi kwani unadhani hilo ni siri? Nenda kwa wakulima ameleta uwizi wake unaitwa TMX huko wakulima hawataki hata kuisikia, we endelea kula hizo posho za utetezi mwenzio anaiba mabilioni
 
Adui mwingine aibuka hivi sasa wa taifa letu. Baada ya uwepo wa maadui watatu wa kihistoria wa nchi, wakitajwa kuwa ni ujinga, umaskini, na maradhi. Sasa adui uchawa naye kaingia rasmi katika orodha hii.
 
Njaa mbaya sana. Bashe amewapa visenti mje muongee utumbo hapa. Mwambie huyo msomali mwizi, aongee yeye mwenyewe.Sura kama paka.
 
Sukari Ni Janga Mpaka Sasa
Imekuwa Kama Magendo Vile
 
Watz wagumu kuelewa shule mlipitaje?

unaambiwa vibali vya kuagiza sukari viliuzwa tsh 300 kwa kilo na ushahidi upo haijakanushwa

Walitafutwa waagiza mtaani wasiosajiliwa kufanya biashara hii wakakauziwa vibali

Kuna waagizaji wameleta sukari ambayo ime expire na kuingiza kwenye soko
Bashe na wenzie Baada ya kutengeneza uhaba feki Bei ya sukarili panda mpaka sh 6000 kwa kilo

Kwa ukweli huu wote Alafu anatokea mtu kalipwa na bashe aje kuandika upuuzi

Hatukubali
 
Unapokosea ni kumfananisha mtu ambaye amekufa na aliye hai.ulikuwa na hoja nzuri lkn umeiharibu kwa chuki zako binafsi na JPm.sisi tunataka hoja huu upuuzi mwingine hatutaki.kama unaongelea issue ya sukari nenda nayo kama siasa ongelea siasa ili tujue moja.
 
Naomba kujua uhusiano kati ya being ya kibali na Bei ya sukari? Hapo tu!
 
Kwenye hii mada sijasema Kama namchukia marehemu!
Japo kiukweli namchukia
 
Duh karne hii bado mnahangaika na sukari....nchi ya ajabu sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…