Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

Watapata Ajali na watakufa Tu mark my word.....ni Wapumbavu mnooooo wanaoaminishwa kupigana na Ndugu wanaopigania maslahi Yao kwa faida Yao. Kuwa POLISI haimaanishi kuwa mjinga na mpumbavu


Kumbuka sio polisi wote mana wengi wanatoka kwenye familia za kawaida na waleoa na kuolewa na ndugu zetu.

Tatizo ni mfumo unaompa mwenyekiti wa CCM mamlaka ya kuteua Makamanda wa polisi . Hapo ni lazima ateye Makada wa CCM na chinja chinja .
Sifa ya kwanza itakua ni yule anayechukia kwa wazi kabisa vyama vya upinzani
 
=abiria.
=Dar au Dar Es Salaam.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Waturuhusu tuandamane kuelekea pale nyumba nyeupe tukamfurushe chura maana ndiyo mtoa maamuzi ya kupoteza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…