Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

Kesho na keshokutwa tunaona mengi, nimeona land cruiser imejaa askari wanapiga misele na kusimama mara kwa mara hii njia ya gomz.

Nikaja kupishana na gari la maji washa buguruni.
 
Hao askari kwenye mabasi unaambiwa walikuwa Moshi kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya polisi wanarudi mikoani kwao

Pili ulichoandika akili huna hujui siasa zinavyofanyika Chama chochote cha siasa hutafuta kura kwa wapiga kura

Polisi na familia zao ni sehemu ya wapiga kura unatakiwa hilo kundi kuwa nalo pia
Ukiwatibua na kuwasumbua ina maana kura zao na familia zao hutapata

Chadema hakuna wanasiasa wajua kupanga mikakati ya kupata kura nyingi toka makundi yote wakiwemo polisi na familia zao
Wewe unajiona unanakili. Ukome kuniquote. Sijawahi kukuquote sababu ni kichaa wewe, usinitafute andika hoja yako achana na yangu. Unaandika uharo tu, polisi nyokonyoko hueleweki hata unachotaka kukiwakilisha. Rudi shule acha uchawa. Ushaingia kwenye ignore list 🚮
 
Kesho na keshokutwa tunaona mengi, nimeona land cruiser imejaa askari wanapiga misele na kusimama mara kwa mara hii njia ya gomz.

Nikaja kupishana na gari la maji washa buguruni.
Wengine hawa hapa ...
20240921_131912.jpg
 
Jana wametupita sehemu Fulani na king'ora wapo katika defender kama tatu hivi. Wana mikogo balaa,tinted machoni na wengine wamevaa musk nyeusi wanaonekana macho tu.

Kila mtu aliyewaona aliwapuuza na kuwasema vibaya.Hawa jamaa Nina uhakika wanachukiwa na watz sana sasa hivi na siku likiwakuta baya tutashuhudia dhihaka nyingi sana mitandaoni.

Polisi na nyoka,hapa duniani hakuna viumbe vinapenda sifa kuwazidi Hawa wahuni wawili.
Mikogo wanatoa wapi masikini hao!
 
Nimesikia Mahali kutoka kwa bodaboda kuwa maandamano yatafanyika mikoa yote hapo Kesho.

Polisi wote kwa sasa wamesafirishwa kuletwa Dar, japo nasikia hawajalipwa hata Mia. Ikiwa ni kweli basi policcm watakua wamechemka Sana......

Inafurahisha kuona Maskini anamuumiza maskini mwenzie ili kumlinda wenye madaraka wachache.....
 
View attachment 3103395
Sipati picha maandamano dar yaki ahirishwa lakini mikoani yakawepo hahahaa
 
Nimesikia Mahali kutoka kwa bodaboda kuwa maandamano yatafanyika mikoa yote hapo Kesho.

Polisi wote kwa sasa wamesafirishwa kuletwa Dar, japo nasikia hawajalipwa hata Mia. Ikiwa ni kweli basi policcm watakua wamechemka Sana......

Inafurahisha kuona Maskini anamuumiza maskini mwenzie ili kumlinda wenye madaraka wachache.....
View attachment 3103395
The total number of Police Force in Tanzania is 40,960; whereby one police officer is responsible for 1097 people (1:1,097).
 
Back
Top Bottom