Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

UPDATE MIKOA TOFAUTI PICHANI.

Mkoa wa Simiyu na Babati leo.

20240922_145420.jpg

20240922_145427.jpg

20240922_144210.jpg

20240922_144541.jpg

IMG_20240922_145132.jpg
 
Ujomile musani!.

View attachment 3103476
Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23.

Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar.

Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro.

Hebu tupeane taarifa kwa kinachoendelea hapo ulipo, ili na sisi abilia tunaosafiri kuja Dasramu week hii tukae vipi.

Ukipata kapicha kapachike hapa mdau!.

UPDATE:

Katika picha ni mitaa ya jiji la Dasramu mchana wa leo.
View attachment 3101978

KAWE:
Jeshi la Polisi jioni hii wamevamia kikao cha ndani cha viongozi wa kata ya Bunju, Kawe na kuwakamata viongozi zaidi ya 23 waliokuwa kwenye kikao hicho.

Na upande wa pili patrol ya mtaa kwa mtaa inaendelea pichani.

View attachment 3102372

Huku magari, farasi na mbwa.

View attachment 3102405

View attachment 3102406

JUMAPILI HII.
KUTOKA SPACE X:

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasiq na Maendeleo CDM, ndg Freeman Mbowe kasema;
"Natangaza kuwepo kwenye Maandamano yetu ya Amani na Maombolezo kesho Jijini Dar-es-Salaam, tarehe 23 Septemba 2024 na likitokea lolote miongoni mwetu, wengine tusirudi nyuma"

"Na mkisikia Mbowe nimekamatwa msirudi nyuma, mkisikia Mbowe nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi"

" Ninyi songeni mbele"
Sio tuu Dar ,Polisi na vyombo vingine vya Dola viko kwenye alert japo ya level ya kawaida.

Huku Mikoani Polisi wanafanya doria tayari Kwa kuwakabili watakaokiuka sheria.

Amri ya marufuku Iko pale pale 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DAOWePCsolT/?igsh=b3A2NDN2cmdiaHBj
 
Ujomile musani!.

View attachment 3103476
Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23.

Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar.

Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro.

Hebu tupeane taarifa kwa kinachoendelea hapo ulipo, ili na sisi abilia tunaosafiri kuja Dasramu week hii tukae vipi.

Ukipata kapicha kapachike hapa mdau!.

UPDATE:

Katika picha ni mitaa ya jiji la Dasramu mchana wa leo.
View attachment 3101978

KAWE:
Jeshi la Polisi jioni hii wamevamia kikao cha ndani cha viongozi wa kata ya Bunju, Kawe na kuwakamata viongozi zaidi ya 23 waliokuwa kwenye kikao hicho.

Na upande wa pili patrol ya mtaa kwa mtaa inaendelea pichani.

View attachment 3102372

Huku magari, farasi na mbwa.

View attachment 3102405

View attachment 3102406

JUMAPILI HII.
KUTOKA SPACE X:

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasiq na Maendeleo CDM, ndg Freeman Mbowe kasema;
"Natangaza kuwepo kwenye Maandamano yetu ya Amani na Maombolezo kesho Jijini Dar-es-Salaam, tarehe 23 Septemba 2024 na likitokea lolote miongoni mwetu, wengine tusirudi nyuma"

"Na mkisikia Mbowe nimekamatwa msirudi nyuma, mkisikia Mbowe nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi"

" Ninyi songeni mbele"
Hujaona hata chelewa chepe na reck?
 
UPDATE 23.9.24
Kwenye maeneo yalipopangwa kuanzia maandamano polisi wamejizatiti hasa kuzuia waandamanaji.

IMG_20240923_084827.jpg

👇🏾
 
Makamu mwenyekiti Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CDM Mh. Lissu amechukuliwa nyumbani kwake na askali wa jeshi la polisi asubuhi hii akitakiwa kwenye ofisi za RCO.

20240923_101911.jpg

👇🏾
 
Sishangai wewe kuwa mchawi Mana ndio utajiri wa ccm
Yaan mlevi moja tu, kanywa mapombe yake huko,
eti ng'weee ng'weee eti Samia Must go,

na wewe bila hata kutafakari unakurupuka kama linyumbu, kijana mzuri tu, msomi, mwenye akili timamu na nguvu kabisaa, eti ukaandanane khaaaa!!

kweli huo sio ushirikina ndrugu zango?🐒
 
Washirikina siku zote wanachotaka ni kumtawala mtu wakimshindwa humuua na you Hy yp ndani ccm
 
infact,
wapiga ramli huongozwa na mihemko ya walevi tu kama ilivyokua kwenye maandamano haramu ya chadema yalifeli vibaya 🐒
 
Back
Top Bottom