Hawa wa kutoka Moshi walikuwa kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya jeshi lao.Ujomile musani!.
Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23.
Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar.
Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro.
Hebu tupeane taarifa kwa kinachoendelea hapo ulipo, ili na sisi abilia tunaosafiri kuja Dasramu week hii tukae vipi.
Ukipata kapicha kapachike hapa mdau!.