Hawa wa kutoka Moshi walikuwa kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya jeshi lao.Ujomile musani!.
Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23.
Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar.
Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro.
Hebu tupeane taarifa kwa kinachoendelea hapo ulipo, ili na sisi abilia tunaosafiri kuja Dasramu week hii tukae vipi.
Ukipata kapicha kapachike hapa mdau!.
Polisi mmoja mzalendo arushe bomu la machozi karibu na atakapokuwa Lissu, tuone Lissu atakimbiaje, yaani asipigwe rungu wala nini, ajaziwe moshi aa mabomu ya machozi tu ili siku nyingine akiandamana ajue maandamano yanaweza geuka riadha na yeye hana mbioUjomile musani!.
Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23.
Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar.
Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro.
Hebu tupeane taarifa kwa kinachoendelea hapo ulipo, ili na sisi abilia tunaosafiri kuja Dasramu week hii tukae vipi.
Ukipata kapicha kapachike hapa mdau!.
Na iwe km ulivyonena mwana mwema wa nchi!Watapata Ajali na watakufa Tu mark my word.....ni Wapumbavu mnooooo wanaoaminishwa kupigana na Ndugu wanaopigania maslahi Yao kwa faida Yao. Kuwa POLISI haimaanishi kuwa mjinga na mpumbavu
Angalia ulichokuwa umeandika; https://www.jamiiforums.com/threads...ingilia-mambo-ya-ndani-ya-nchi.2259059/unread. Na kwa nini wamefuta?.Polisi mmoja mzalendo arushe bomu la machozi karibu na atakapokuwa Lissu, tuone Lissu atakimbiaje, yaani asipigwe rungu wala nini, ajaziwe moshi aa mabomu ya machozi tu ili siku nyingine akiandamana ajue maandamano yanaweza geuka riadha na yeye hana mbio
Ni target pia! Mfano kule Nairobi Kenya wkt Gen Z wakikinukisha,waliwafanyia timing polisi kwamba wanaenda uwanja wa ndege JKIA,polisi kama immigration ya nyumbu from Serengeti to Masai Mara wakakimbiklia airport wakakuta empty. Kurudi town wakakuta street zote zimefurika waandamanaji.Umenichekesha sana
Tatizo huna akili, sasa kilichofutwa nakiangaliajeAngalia ulichokuwa umeandika; https://www.jamiiforums.com/threads...ingilia-mambo-ya-ndani-ya-nchi.2259059/unread. Na kwa nini wamefuta?.
DuhUjomile musani!.
Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23.
Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar.
Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro.
Hebu tupeane taarifa kwa kinachoendelea hapo ulipo, ili na sisi abilia tunaosafiri kuja Dasramu week hii tukae vipi.
Ukipata kapicha kapachike hapa mdau!.
Unaota unafikiri polisi hawajui hilo kuwa mwaweza sema mtaandamana dar kumbe mtaandamana kwingine.JWTZ wapo kila mkoa utakuwa umeruka mkojo na kukanyaga mavi tu hata polisi wote nchi nzima wahamie dar ukiandamana kwiigine utapondwa na JWTZKama ni hivo tuwapige counter attack tuandamane sehemu ambazo wanatoka.
Kibibi kimeamka,eti miaka miwili kinakumbuka yaliyotokea=abiria.
=Dar au Dar Es Salaam.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Utoto huo JWTZ kanda ya ziwa vikosi vyao vipo vinawasubiri kwa hamu toka vita ya kagera hawajawahi pigana au piga mtuHiyo tarehe 23 polisi wote watakuwa Dar mara paap maandamano Dar yanahairishwa haafu siku hiyohiyo yanafanyika kanda ya ziwa, hii inaitwa changanya bwege.
Kwani ndio malengo ya maandamano!?.Hii imekaa poa.
Na vituo vyao mnavichoma moto wakirudi wasivikute.
Polisi wa Kenya kiujumla hawakutaka kumpa ushirikiano Raisi Ruto baada ya kifo cha mkuu wa Jeshi la polisi la Kenya kwa helicopter ninkama tu waliachia waandamanaji wafanye wabachotakaNi target pia! Mfano kule Nairobi Kenya wkt Gen Z wakikinukisha,waliwafanyia timing polisi kwamba wanaenda uwanja wa ndege JKIA,polisi kama immigration ya nyumbu from Serengeti to Masai Mara wakakimbiklia airport wakakuta empty. Kurudi town wakakuta street zote zimefurika waandamanaji.
πππUnamaanisha polisi wameitika wito wa maandamano ya J3?
Hujasikia na jana kikao cha mabosi wa polisi kimefanyika ikuluUjomile musani!.
Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23.
Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar.
Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro.
Hebu tupeane taarifa kwa kinachoendelea hapo ulipo, ili na sisi abilia tunaosafiri kuja Dasramu week hii tukae vipi.
Ukipata kapicha kapachike hapa mdau!.
Na iwe km ulivyonena mwana mwema wa nchi!
Hao askari kwenye mabasi unaambiwa walikuwa Moshi kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya polisi wanarudi mikoani kwaoPolisiccm naona wachezewe mchezo, wajiandae hivyo, watoke kila mkoa. Wakifika hola. Baada ya muda tena yatangazwe maandamano mengine. Wawe wanawekwa busy hivyo, maana ndiyo kitu wanakipenda.