Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

Kesho na keshokutwa tunaona mengi, nimeona land cruiser imejaa askari wanapiga misele na kusimama mara kwa mara hii njia ya gomz.

Nikaja kupishana na gari la maji washa buguruni.
 
Wewe unajiona unanakili. Ukome kuniquote. Sijawahi kukuquote sababu ni kichaa wewe, usinitafute andika hoja yako achana na yangu. Unaandika uharo tu, polisi nyokonyoko hueleweki hata unachotaka kukiwakilisha. Rudi shule acha uchawa. Ushaingia kwenye ignore list 🚮
 
Mikogo wanatoa wapi masikini hao!
 
Nimesikia Mahali kutoka kwa bodaboda kuwa maandamano yatafanyika mikoa yote hapo Kesho.

Polisi wote kwa sasa wamesafirishwa kuletwa Dar, japo nasikia hawajalipwa hata Mia. Ikiwa ni kweli basi policcm watakua wamechemka Sana......

Inafurahisha kuona Maskini anamuumiza maskini mwenzie ili kumlinda wenye madaraka wachache.....
 
Sipati picha maandamano dar yaki ahirishwa lakini mikoani yakawepo hahahaa
 
The total number of Police Force in Tanzania is 40,960; whereby one police officer is responsible for 1097 people (1:1,097).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…