Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

UPDATE MIKOA TOFAUTI PICHANI.

Mkoa wa Simiyu na Babati leo.









 
Sio tuu Dar ,Polisi na vyombo vingine vya Dola viko kwenye alert japo ya level ya kawaida.

Huku Mikoani Polisi wanafanya doria tayari Kwa kuwakabili watakaokiuka sheria.

Amri ya marufuku Iko pale pale πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DAOWePCsolT/?igsh=b3A2NDN2cmdiaHBj
 
Hujaona hata chelewa chepe na reck?
 
UPDATE 23.9.24
Kwenye maeneo yalipopangwa kuanzia maandamano polisi wamejizatiti hasa kuzuia waandamanaji.


πŸ‘‡πŸΎ
 
Makamu mwenyekiti Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CDM Mh. Lissu amechukuliwa nyumbani kwake na askali wa jeshi la polisi asubuhi hii akitakiwa kwenye ofisi za RCO.


πŸ‘‡πŸΎ
 
Sishangai wewe kuwa mchawi Mana ndio utajiri wa ccm
Yaan mlevi moja tu, kanywa mapombe yake huko,
eti ng'weee ng'weee eti Samia Must go,

na wewe bila hata kutafakari unakurupuka kama linyumbu, kijana mzuri tu, msomi, mwenye akili timamu na nguvu kabisaa, eti ukaandanane khaaaa!!

kweli huo sio ushirikina ndrugu zango?πŸ’
 
Washirikina siku zote wanachotaka ni kumtawala mtu wakimshindwa humuua na you Hy yp ndani ccm
 
Washirikina siku zote wanachotaka ni kumtawala mtu wakimshindwa humuua na you Hy yp ndani ccm
infact,
wapiga ramli huongozwa na mihemko ya walevi tu kama ilivyokua kwenye maandamano haramu ya chadema yalifeli vibaya πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…