UPDATE: Mahujaji zaidi ya Elfu Moja wamefariki Makka. Hakuna Mtanzania aliyepoteza Maisha wala kujeruhiwa

UPDATE: Mahujaji zaidi ya Elfu Moja wamefariki Makka. Hakuna Mtanzania aliyepoteza Maisha wala kujeruhiwa

51'C ni onyo, Mungu alishawaonya mara nyingi hapo waache kufanya ibada ya sanamu hapo lakini wanashupaza shingo. Ngoja waendelee kushupaza shingo zaidi watashushiwa moto mkali na utawalamba wengi mpaka dunia itikisike. Nini wanachokiabudu hapo wakati Mungu hayupo hapo?
Si umeshaambiwa wanamlenga mawe Shetani?
 
Lazizi wangu huwa unanikosha sana moyo wangu. Hata kama nimechoka mwili najikuta uchovu umekwisha na kuwa mwepesi kama manyoya ya kuku wa kienyeji.

Ephen waridi wa ❤️ wangu naipenda sana CCM na siwezi kuacha kuripoti habari zake, na naamini utaendelea kunipenda na tutaendelea kupendana kwa dhati na kushikamana kama sumaku, kwa kuwa tumeunganishwa kwa upendo.
Amin 🙏
 
Lengo la uzi ilikuwa ni kusifu na kulamba miguu tu wala siyo Mahujaj
 
Ndugu zangu Watanzania,

Zaidi ya mahujaji Elfu moja wamepoteza maisha katika mji wa Makka walikokuwa wamekwenda kuhiji kama sehemu ya kutimiza nguzo kuu tano kwa muislamu yeyote yule mwenye uwezo walau mara moja tu katika uhai wake kuweza kufika katika mji huo mtakatifu kwa waislamu .

Vifo hivyo inasemekana vimetokana na kuchochewa na joto kali sana lililokuwa limetokea katika Wiki hii na kufikia nyuzi joto 51 ,kwa wale tuliosoma Geography tunaelewa maana ya joto hili kuwa ni la juu sana na hatari kwa maisha mwanadamu.

Nchi mbalimbali zimeripoti vifo vya watu wake,huku Misri ikiongoza kupoteza watu wake ,ambapo mpaka sasa imepoteza watu 658. Tanzania haijapoteza wala kutokea kifo cha mtanzania yeyote yule wala majeruhi .

Tuendelee kuwaombea wenzetu hao warejee salama kabisa hapa Nchini na kuungana na familia zao.

Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili.kwa undani zaidi unaweza jipatia nakala yake au kusoma kupitia mtandaoni na kulipia kulingana na uwezo wako wa kifedha. Lakini pia natamani wenye uwezo wa kifedha mliopo humu jukwaani pia mngekuwa mnachangia Jamii forum pesa kidogo ili kuwatia moyo .ikumbukwe hili ni jukwaa linalotukutanisha maelfu ya watanzania na kujadili masuala mbalimbali kwa uhuru sana.

Kazi iendelee.Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

PIA SOMA
- Saudi Arabia: Mahujaji zaidi ya 500 wafariki wakati wa Hija huko Makka
Vipi wewe hujafa!?
 
Lazizi wangu huwa unanikosha sana moyo wangu. Hata kama nimechoka mwili najikuta uchovu umekwisha na kuwa mwepesi kama manyoya ya kuku wa kienyeji.

Ephen waridi wa ❤️ wangu naipenda sana CCM na siwezi kuacha kuripoti habari zake, na naamini utaendelea kunipenda na tutaendelea kupendana kwa dhati na kushikamana kama sumaku, kwa kuwa tumeunganishwa kwa upendo.
Du kumbe sio tahaira huwa unaigiza tu
 
Kuna mi nonsense inawaza eti kwa kuwa wamekufa wakiwa ibadani watathawabika hamna kitu kama hicho
 
Si umeshaambiwa wanamlenga mawe Shetani?
wanaenda kufanya ujinga mtupu, shetani yupo mioyoni mwao wampige mawe humo. Upuuzi wa waarabu mbantu nae anasafiri maili nyingi kwenda kushiriki upuuzi huo, ni ajabu sana
 
wanaenda kufanya ujinga mtupu, shetani yupo mioyoni mwao wampige mawe humo. Upuuzi wa waarabu mbantu nae anasafiri maili nyingi kwenda kushiriki upuuzi huo, ni ajabu sana
Nasikia serikali ya Saudi Arabia wanatengeneza pesa nyingi sana na wanachukulia hii kuwa ni Utalii, wao si wajinga
 
Nasikia serikali ya Saudi Arabia wanatengeneza pesa nyingi sana na wanachukulia hii kuwa ni Utalii, wao si wajinga
let's say ni utalii wa kiimani/dini/utamaduni, mbona unakuwa ni overeted hivyo? Watetezi wa hija hiyo wanadai saudia haikusanyi fedha za mahujaji bali mahujaji hulipia gharama za usafiri chakula na malazi tu!
 
Hela wanayokusanya kama sadaka na ni nyingi mno wanazipeleka wapi?
 
Hela wanayokusanya kama sadaka na ni nyingi mno wanazipeleka wapi?
itakuwa wanatumia sadka hizo kujenga uchumi wa nchi yao, ndio maana iran inatamani kuichukua kaaba ikidai saudia imenajisi ardhi tukufu kwa kuruhusu makafiri/wamagharibi wakanyage nchi hiyo na kufanya shughuli zao huko. Iran inaona saudia inanufaika na utalii huo why nayo isinufaike wakati inajinasibu ndio kinara wa dini hiyo duniani?
 
Ndugu yangu Lucas mwashambwa

Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana

Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua

Boti za Zanzibar na meli kubwa zikipita mawimbi yanakuwa makubwa mno yanaweza kufunika hii mitumbwi

Tusadie kupaza sauti ili Jambo la haraka lifanyike hii adha ya kurudi majumbani kwetu ipungue au kumalizika kabisa

Wasalaam ni Mimi ndugu yako
komredi Lucas Mwashambwa ni refa bila kipenga uko chamani sidhani ataweza kuwasadia wahanga wa panton
 
Watanzania hawafikagi kwenye kumtupia mawe Shetani
[/QUOTEwanachukua tahadhari ikitokea mkanyagano wasikanyagwe na kufa huko kizembe. Waende tu wakatalii huko wakaone ujinga unaofanyika huko ila wasitupe mawe na kushiriki upuuzi huo
 
Back
Top Bottom