binafsi sifahamu, sijui na wala sina hakika mrangi πŸ’
Pole kama hufahamu
Ila huo ndiyo ukweli,wanasiasa na viongozi waganga na wao
Na sahvi uchagu,I unakaribia waganga wanapiga sana jela

Ova
 
Kampeni ya kuchinja waganga wa kienyeji ianze tu (sio hebalists)
 
Mara nyingi haya matukio ya maalbino kuuwawa huwa yanajitokeza mara nyingi mwaka mmoja kabla ya uchaguzi .

Inafikirisha sana.
 
Pole kama hufahamu
Ila huo ndiyo ukweli,wanasiasa na viongozi waganga na wao
Na sahvi uchagu,I unakaribia waganga wanapiga sana jela

Ova
binafsi Neema na Baraka za Mungu zimenistahilisha mpaka hapa nilipo sasa hivi,

true story yangu ya nilipogombea ubunge mara ya kwanza nikiwa na laki5, Mungu akanionyesha njia na sikua nina muda na habar ya ushirikina mpaka wa leo πŸ’

na watu wengi hamjuangi tu kwamba I'm also apostle πŸ’
 
nadhan washirikina sana ni washirikina wenyewe, wengine si wateja tu πŸ’
Viongozi hao wanasiasa ni washirikina.....we kaa hivyo hivyo
Ukiwajua vzr hao hata huo uongozi unaoutaka kwenye siasa utaacha

Ova
 
Ukimkata akiwa amefariki unakuwa umevunja masharti
Eeeeh Mungu wangu, najaribu kuvuta picha ya mtoto akilia akiwa anakatwa viungo vyake nimelia machozi.

Mimi ndio maana sipendi mamlaka, ningeagiza upelelezi niletewe hao watu ningewafanyia waliyomfanyia huyo mtoto mwenyewe.
 
Usilolijua uchawi uko Dunia nzima hujafatilia tu kujua, unafikiri Africa hata kabla ya kuja dini walikuwa hawaamini katikati uchawi? Dini zimekuja na kukuta watu wakiamini na wakifanya mambo ya kishirikina Somo la historia nafikiri lilikupita au hata vita ya majimaji hukusoma
 
Ukimkata akiwa amefariki unakuwa umevunja masharti
Dahhhh!!! very sad for sure!! Ningetegemea operation nzito ikiendeshwa na ma rpc wa mikoa ya kanda ya ziwa kwa kila waganga mpaka wakamate viungo hivyo kisha watuhumiwa watiwe nguvuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…