Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo
TUMESHINDWA KUMLINDA, WAMEMUUA BINTI YETU ASIMWE, WAMECHUKUA BAADHI YA VIUNGO VYAKE💔

Baada ya kupotea kwa siku kadhaa asijulikane alipo. Hatimae siku ya jana mwili wa binti huyo mdogo mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) kwa jina la Asimwe ulikutwa kichakani umeviringishwa kwenye fuko huku baadhi ya viungo vyake vya mwili vikiwa vimetolewa.

Wanadamu tumekosa utu, tusamehe binti yetu mzuri tumeshindwa kukulinda, tamaa ya madaraka, mafanikio ya haraka, imani potofu, vimeondoa uhai wako. Hatujui ulijiteteaje wakati wanakutoa uhai, ulikuwa unawatazama au walikufunga macho💔. Imeharibika dunia.
Kwanini Lucas Mwasjambwa amejificha kwenye suala hili! Mtafuteni aje hapa atueleze wagombea CCM wanapitishwaje maana wako wengi sana.
 
IMG_7441.jpeg


Nchi ambayo inashindwa kuwalinda malaika kama huyu (sorry pretty) tusamehe kushindwa kukulinda.


IMG_7440.jpeg


Huyo poyoyo kama Makonda ni kwa utaratibu wenu wa Tanzania.

Utaratibu wangu mimi waliohusika kumdhuru huyo mtoto;

Mganga wake
Wahusika wa kununua viuongo
Waliomteka huyu mtoto
Na aliemlengesha huyu mtoto

Mimi mwenyewe ndio nitachukua maisha ya hao wahusika na wala sikosi usingizi.

Sijui kama ni jambo zuri au baya kwangu kutoishi nchi kama hiyo.

Kitu kimoja ninachojua ningekuwa Tanzania hata nisingekuwa jaji a lot of people would have died,

Kwa mimi nilivyo sipendi upumbavu watu kama hawa kata shingo
 
Like what is wrong with us

Inakuwuje an innocent 5 year old girl anauwa kwa kutwa viungo na jamii tuone kawaida tu hayo mambo.

Kuna kitu hakiko sawa kichwani watanzania. Marehemu ana miaka mitano.

Badala ya kuwatafutq waganga wa hovyo ndio kwanza.
 
Hali ya ulinzi na Usalama wa wananchi bado hairidhishi. Kuna kona naziona zimelega lega sana. Hii ilifanyika mkoa gani mkuu?. Mm ufatiliaj wa ishu hizi naziweza vizuri leten konekshen huk usalama wq nchi nikainyooshe mijitu mm
kama nimekulewa unachosema ya kuwa ukitaka kusaidia kwa ushahidi sehemu zingine inawezekana, sema wahusika hawapo tayari kwa hayo mambo.
 
Bado hujasema.

Uambiwe vipi tena

Mtoto wa miaka mitano inataka akiii gani ya kumrubuni

Now imagine the horror ya kuanza kumkata viuongo (an innocent kid).

Serikali Inacheka sana na waganga hasa wa kanda ya ziwa.

Bora kukamata na kuzuia uganga kuliko kuhatarisha maisha ya watoto.

Like I said sina madaraka na ndio maana nayaogopa vinginevyo pangechimbika.
 
Uambiwe vipi tena

Mtoto wa miaka mitano inataka akiii gani ya kumrubuni

Now imagine the horror ya kuanza kumkata viuongo (an innocent kid).

Serikali Inacheka sana na waganga hasa wa kanda ya ziwa.

Bora kukamata na kuzuia uganga kuliko kuhatarisha maisha ya watoto.

Like I said sina madaraka na ndio maana nayaogopa vinginevyo pangechimbika.
Wahusika wanakusoma. Hatahivyo Pole sana.

Walakin,

Sioni sababu ya kutukana nchi nzima kwa sababu suala hili lime kugusa.

Sasa unaitukana Nchi nzima, Jamii na Serikali yake na wakati huo huo unaomba wakusikilize?

Punguza hasira.

Amani ikutawale.
 
Your too emotional bandugu hivyo huwezi qualify to be a good leader...

Vitu vingi tunavyo viona Ni illusion umzaniae ndie kumbe siye...

NB.
Hatuitaji KGB, CIA, FBI, MOSSAD AGENT kujua walio husika Mamlaka zinazo husika zifanye kazi yake kuwabaini wote wanao husika na huo mtandao na kuwashuhurikia perpendicular.
 
Shida ni kwamba, unaweza kukuta wanaotakiwa kukemea na kupiga vita hivi vitendo ndio wanufaikaji wenyewe. Haiwezekani tukio la kikatili namna hii likapuuzwa au kutokupewa uzito unaostahili. Nimeumia sana kupita maelezo. Siku yote imeingia dosari.
 
Wahusika wanakusoma. Hatahivyo Pole sana.

Walakin,

Sioni sababu ya kutukana nchi nzima kwa sababu suala hili lime kugusa.

Sasa unaitukana Nchi nzima, Jamii na Serikali yake na wakati huo huo unaomba wakusikilize?

Punguza hasira.

Amani ikutawale.
Kaa mfikirie mtoto wa miaka mitano na jinsi alivyo anaamini mambo kirahisi.

Halafu linatokee rijitu linalotumia huo udhaifu wake kumrubuni na kwenda kumuua na kumkata viuongo.

Sijui wewe lakini mimi sina ustaarabu wa ku-negotiate na mtu kama. Nyonga yeye na mganga wake bila ya kufikiria kana nina mamlaka na nskuhakikishia usiku huo nalala bila ya kujuta.
 
Tuna paswa kuwakamata na kuwanyonga hadharani... cartel yote kuanzia waganga Hadi hao wanasiasa

Bado hata hivyo adhabu haitoshi ila ni vile ndio adhabu ya juu kabisa. Kitu gani kifanyike nafsi ziwe na ubinadamu hata kidogo tu na huruma kwa wengine?

Hii ni zaidi ya unyama. Unatoa uhai wa mtu kutafuta vitu ambavyo wewe mwenyewe utakufa na kuviacha? Unapata wapi ujasiri wa kufurahia hayo mafanikio yanayopatikana kwa kuumiza wengine?
 
Back
Top Bottom