Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushirikina gani wewe! Huyo ni mchafu mzoefu asiyefaa kuitwa kiongozi wa dini wala wa familia.Swala la kuingilia watoto wadogo ni la kishirikina. Wengine wanafanyia hadi watoto wao wa damu. Bila shaka kama kweli alifanya huu unyama atakuwa na agenda binafsi.
Wala sio kiini cha tatizo, kwani wenye wake mpaka wanne hawatendi haya?Duuh hatari Sana, waruhusiwe kuoa/ kuolewa kwa upande wa ma sister
Wakatoliki mnafeli wapi ruhusuni mapadri waoe
Kwa nini hawa watu hawaoi sasa , sasa genye wanazitoaje
mie nataka kujua ni kanisa gani? nifatilie nilete na jina la padre hapaIna maana jf hakuna anayefahamu jina la huyo padri na kituo chake cha kazi ikiwezekana na picha kabisa? Hivyo vyote vimefichwa eti kutokana eti ni kiongozi wa dini maadili hayaruhusu. Je ufirauni alioufanya kwa hao watoto watausahau maishani mwao? Mimi ni mkristo ila matukio ya hovyo kama haya ni ya kukemea na kupiga vita haswa, akizidiwa akatafute huko barabarani akajipigie