Japo sina adabu connection kubwa kuliko zote kwenye maisha yangu nmepata humu humu jf , na bado naendelea kuchangia bila adabu .Endelea kucomment kwa adabu jf ukitegemea humu utapata connection [emoji1787][emoji1787]pana watu wazito BumbaaaaaaV!
Je wana akili ya kulete maendeleo? Angalia mazingira yao wanayoishi vijijini, bahati mbaya nilipita Usukumani mwaka 1970 Dec nilipita karibu mkoa wote mpaka mkoa wa Musoma nikaishia Isbania na kurudi APRIL 1971. Maendeleo yalikua zeroKuna wasukuma 20m!?..
Kuzungumzia maendeleo ya jamii za kitanzania ya mwaka 1970 kulinganisha na 2024 lazima dish liwe limeyumba.Je wana akili ya kulete maendeleo? Angalia mazingira yao wanayoishi vijijini, bahati mbaya nilipita Usukumani mwaka 1970 Dec nilipita karibu mkoa wote mpaka mkoa wa Musoma nikaishia Isbania na kurudi APRIL 1971. Maendeleo yalikua zero
Mawazo yako ni sahihiKuzungumzia maendeleo ya jamii za kitanzania ya mwaka 1970 kulinganisha na 2024 lazima dish liwe limeyumba.
🤣🤣🤣🤣haya bn mwenetu Hapo kitengoJapo sina adabu connection kubwa kuliko zote kwenye maisha yangu nmepata humu humu jf , na bado naendelea kuchangia bila adabu .
Mkoa wa Kilimanjaro una shule nyingi za sekondari tu lakini hauna idadi kubwa ya wanafunzi. Kwa mfano mkoa wa Kagera unapeleka wanafunzi wengi Form six kuliko kilimanjaro alafu kilimanjaro wanasoma wanafunzi wengi kutoka mikoa(makabila) mengine hivo uwepo wa sekondari nyingi sio kigezo cha wachagga kwenda shuleMkuu usijizime data, nakukumbusha tu kwamba mkoa wa Kilimanjaro pamoja na eneo lake dogo ndio mkoa unaoongoza kwa shule nyingi zaidi nchini, na wanaofaulu kwenda vyuoni ni wengi pia,
Wewe kwanza ahapo ulipo nakupa pole sana! Jamii zimeshachange sana tu! Njoo saizi utajionea mabadiliko ya kutosha kuanzia Shinyanga ,Kaham,Katoro, Mwanza ,Lamadi na maeneo mbali mba;li!Je wana akili ya kulete maendeleo? Angalia mazingira yao wanayoishi vijijini, bahati mbaya nilipita Usukumani mwaka 1970 Dec nilipita karibu mkoa wote mpaka mkoa wa Musoma nikaishia Isbania na kurudi APRIL 1971. Maendeleo yalikua zero
Umesahau
Tabora,
Katavi,
Rukwa,
Morogoro,
Mbeya
Wamesambaa karibu kila kona ya nchi leta hiyo taarifa yako ya sensa.
Wasukuma ndio kabila kubwa Tanzania.
Jf sio ya kuchukulia poa mkuu , muhimu kaa kwenywe uhalisia wako tu , japo sipo kitengo😁😁😁🤣🤣🤣🤣haya bn mwenetu Hapo kitengo
Nakubaliana na wew. Nimeishi sehemu fulan kwa muda wengi wapo primitive sana,,,ila nlichogundua wakihamasishwa wako fast ku change.Sis wagogo ndio majitu tusiopenda elimu kabisa hapa duniani
Ofcourse ndo jambo la msingi! Ktk maisha hua naapreciate sana mtu venye yupo realJf sio ya kuchukulia poa mkuu , muhimu kaa kwenywe uhalisia wako tu , japo sipo kitengo😁😁😁
Ni uchambuzi wenye ukweli mkubwa sana ila usisahau kuwa Morogoro ina vyuo vikuu vingi na vikubwa; SUA, Mzumbe, Jordan, Muslim University, etc, Pengine K’Njaro inafuatia.1. Wachaga - Kama kawaida yao sio watu wa kujisifia iwe ni biashara, maendeleo ya vijini kwao, n.k. Kiufupi hawa suala la elimu wapo Mbali tangu enzi za ukoloni, Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo ila ndio unaongoza kwa shule nyingi hasa maeneo ya uchagani, Kitu cha ziada ambacho wengi hawakijui ni kwamba wana mwamko wa shule za kimataifa na hata miji wanayoishi ya Moshi na Arusha kuna shule hizi nyingi kama St Constatine, Braeburn, INternational school of Moshi, Kennedy house, n.k. Kwenye shule hizi watoto utaowakuta kutoka Tz ni wachache ila majority huwa ni wachaga, sio suala la mzazi kuwa na pesa pekee bali na mwamko wa kuwapa watoto elimu ya kimataifa, na hata zile nafasi za udhamini watanzania kusoma bure huwa ni watoto wa kichaga. Ikumbukwe shule hizi ni tofauti kabisa na hizi za Necta, huku ukisoma kuna guarantee kubwa kusoma vyuo bora duniani, Luhgha za wazungu walimu ni wazungu, connections nzito za watoto wa wazito, n.k.
2. Wahaya - Yes, Ni nani asiewajua watu hawa waliowekewa kizuizi na Nyerere kwa alama za kufaulu darasa la saba ? Hawa watu wanaipenda shule jamani, Shida ni kwamba kuna changamoto za kiuchumi mkoani Kagera, wapo wengi wanaotamanigi kuendelea na shule na uwezo upo ila inawalazimu waendelee na maisha mengine, halafu pia wao na makabila mengine wana mwamko mdogo sana na International schools, Mhaya mwenye pesa za kutosha atapeleka mtoto wake Kaizarage ya Bukoba ama saint Francis huko Mbeya yani hana mwamko kabisa kujua kwamba kuna shule International.
3. Wanyakyusa - Ughonile, Nimeishi nao so nawajua vizuri hawa kina Mwakyusa, Mwakatobe, Mwakyembe, Bukuku, n.k., wazazi wa kinyakyusa hasa wamama wanaasa sana watoto wasome, wapo tayari kujinyima kwa lolote mtoto asome shule nzuri, Nakumbuka nikiwa Mbeya mtu anaweza kuresit form 4 hata mara 3 kutafuta credit, hawana jambo dogo kwenye elimu !! kuhusu uwezo darasani wanao wa kawaida ila wapo wachache nishawai kutana nao ni ma genius, Kwa sasa Mbeya ndio mkoa inaoongoza kwa vyuo ukiitoa Dsm, Kuba shule za kiingereza 4 za serikali za msingi, Shule za Sekondari zipo nyingi
4. Wasukuma - wasukuma wapo wengi sana hii nchi ila tatizo maeneo yao mengi hawaipi elimu kipaumbele, mikoa waliyojazana wasukuma kama Simiyu, Geita, Shinyanga, n.k elimu haipewi uzito na shule ni chache, Mwanza ndio inawabeba.... Laiti wasukuma wangejiongeza kielimu lingekuwa ni tishio kubwa sana hapa nchini maana katika kila watanzania sita kuna msukuma moja, Huenda mkoloni hakupeleka elimu usukumani alishaona watadominate sana, na pia licha ya Mwanza kuwa jiji la pili kwa ukubwa Tz hawana chuo kikuu.
5. Wakerewe - wakerewe wapo katika kisiwa kidogo cha Ukerewe, kwa mipaka ya ramani kipo mkoa wa Mwanza lakini kiuhalisia kipo mkoa wa Mara, wakerewe ndio wanaongoza nchi nzima kwa kuwa na maprofesa wengi zaidi wenye phd za kutafuta darasani, Sababu ya kuwa namba tano ni idadi yao (population) kuwa ndogo.
Bonus....
Watu wa Mara - sijajua ni kabila lipi kati ya wajita, wakurya, wajaluo au wazanaki lakini nimesoma vyanzo mbali mbali kwamba mkoa huu ni kinara wa kutoa wasomi wengi, Majimbo kama Musoma vijijini ule mchujo tu wa kupata mbunge wa kupitishwa ni phd tupu.
Makabila mengine ni Wapare, wamasai wa Meru, Wamatengo wa Ruvuma, n.k.
Ni kweli flani; zaidi ya 80% ya wachagga wapo nje ya K’Njaro na watoto wengi wa huko husoma nje ya mkoa.Mkoa wa Kilimanjaro una shule nyingi za sekondari tu lakini hauna idadi kubwa ya wanafunzi. Kwa mfano mkoa wa Kagera unapeleka wanafunzi wengi Form six kuliko kilimanjaro alafu kilimanjaro wanasoma wanafunzi wengi kutoka mikoa(makabila) mengine hivo uwepo wa sekondari nyingi sio kigezo cha wachagga kwenda shule
Wandengereko, wazaramo na the like wapo busy kukata mauno na kushikana uchawi
Nimekuelewa vizuri. Sasa, uwe objectively verifiable. Nilidhani kusudio lako la kumpinga,usingedhani tena kama yeye, ungeweka data kwa kutumia cluster groups ulizotaja. Ukija na data unanishawishi. Niambie kwa kutumia statistcs za Wizara ya Elimu,ni Mkoa gani hapa nchini unaongoza kwa kuwa na shule nyingi za sekondari?Na wewe labda pia hukuinielewa vizuri. Hizo sources za data nilizotoa ndiyo statistical representation nzuri ya distribution ya wasomi; siyo kuwa wasomi wote wanafanya kazi hizo, wengine huenda wana digrii zao lakini wanafanya shughuli zisizohusiana kabsa na digrii zao kwa mfano wanauza madini au ni wakulima au wqana maduka yao, lakini distribution nzuri ya wasomi itaonyeshwa na presense yao katika fields hizo nilzosema.
Idadi ya shule za sekondari Kilimanjaro ilikuwa kipimo kizuri zamani lakini siyo siku hizi. Angalia jinsi nchi nzima ilivyo na shule za sekodari, kanda ya ziwa siku hizi ina shule nyingi sana leo.
View attachment 2860576