Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Uyo Zari hanaga uchungu eeh
Anamfurahiaha chibu jaman, Chibu hana watoto so anamzalia yeye. Ikitokea akaolewa tena na mwanaume mwingine lazima ashushe wengine tena
 
Point taken cjui kwann wamefanya ivi but all in all Mungu awaepusha na ma balaa
 
Mbona alisema ataonyesha live anavyo push mtoto tuone anavyotoka?
 
baada ya uzazi wafanye mpango wafunge ndoa basi......kufyatulia nje tu sio dili.
 
Mzazi kujifungulia inje ya nchi vp katiba inasemaje kuhusu uraia mtoto? Maomba kujunzwa.
 
Mzazi kujifungulia inje ya nchi vp katiba inasemaje kuhusu uraia mtoto? Maomba kujunzwa.
mtoto ni wa south mkuu na tena wana sheria kali saana kuhusu watoto wao yaan kuwahamisha kwenda sehemu hata kama kusalimiaa tu utazungushwa saaana
 
mpuuzi yule..!mpk sasa bila bila sijui kapigwa kisu..?!!
 
hawajaoana Zari ni murtadi bado hajasilimu...!!!
mtihani kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…