Nathd
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 210
Anamfurahiaha chibu jaman, Chibu hana watoto so anamzalia yeye. Ikitokea akaolewa tena na mwanaume mwingine lazima ashushe wengine tenaUyo Zari hanaga uchungu eeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamfurahiaha chibu jaman, Chibu hana watoto so anamzalia yeye. Ikitokea akaolewa tena na mwanaume mwingine lazima ashushe wengine tenaUyo Zari hanaga uchungu eeh
Huyu wa tano sasaJuzijuzi kamzaa Tiffany Leo tena yuko wodini? Kwani ana watoto wangapi???
Dada vip tena, mbona hasira kali hivo
Point taken cjui kwann wamefanya ivi but all in all Mungu awaepusha na ma balaaAngejifungua kwanza ndo wakaanza drama kama walivyofanya kwa tiffah,labor sio kitu cha kufanyia matangazo dunia nzima......kwa normal delivery sio rahisi kujua ni lini au sa ngpi mtoto atatoka ni Mungu ndiye anayeamua cha muhimu waga ni sala na dua mbele za Mungu kuanzia moyoni nasio mdomoni na mitandaoni,sasa akili yote inawaza social media kuwapa updates fans wako,mara photo shoot aisee wawe serious
mtoto ni wa south mkuu na tena wana sheria kali saana kuhusu watoto wao yaan kuwahamisha kwenda sehemu hata kama kusalimiaa tu utazungushwa saaanaMzazi kujifungulia inje ya nchi vp katiba inasemaje kuhusu uraia mtoto? Maomba kujunzwa.
mpuuzi yule..!mpk sasa bila bila sijui kapigwa kisu..?!!Angejifungua kwanza ndo wakaanza drama kama walivyofanya kwa tiffah,labor sio kitu cha kufanyia matangazo dunia nzima......kwa normal delivery sio rahisi kujua ni lini au sa ngpi mtoto atatoka ni Mungu ndiye anayeamua cha muhimu waga ni sala na dua mbele za Mungu kuanzia moyoni nasio mdomoni na mitandaoni,sasa akili yote inawaza social media kuwapa updates fans wako,mara photo shoot aisee wawe serious
hawajaoana Zari ni murtadi bado hajasilimu...!!!Hakika wafanyayo si vyema kama kweli hawajafunga ndoa, lakini kuna ewezekano wamefunga ndoa kisiri.
Siamini kama Waislam wanaweza kufanya hivyo na kama wanafanya basi na wao kwa wazazi wote wawili inawezekana kabisa kuwa ni watoto wa zinaa na hawana soni.
ana wanne....Juzijuzi kamzaa Tiffany Leo tena yuko wodini? Kwani ana watoto wangapi???
Mmmmh[emoji15] nifah wewe hujawahi ingia laborLabour wards ambassador yupo kazini.
Kila la kheri mama.
Hata akiwa wa 20 Kwan alikuomba msaadaUyu naye duh mtoto wa 15 atakua