Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Uyo Zari hanaga uchungu eeh
Anamfurahiaha chibu jaman, Chibu hana watoto so anamzalia yeye. Ikitokea akaolewa tena na mwanaume mwingine lazima ashushe wengine tena
 
Angejifungua kwanza ndo wakaanza drama kama walivyofanya kwa tiffah,labor sio kitu cha kufanyia matangazo dunia nzima......kwa normal delivery sio rahisi kujua ni lini au sa ngpi mtoto atatoka ni Mungu ndiye anayeamua cha muhimu waga ni sala na dua mbele za Mungu kuanzia moyoni nasio mdomoni na mitandaoni,sasa akili yote inawaza social media kuwapa updates fans wako,mara photo shoot aisee wawe serious
Point taken cjui kwann wamefanya ivi but all in all Mungu awaepusha na ma balaa
 
Mbona alisema ataonyesha live anavyo push mtoto tuone anavyotoka?
 
Mzazi kujifungulia inje ya nchi vp katiba inasemaje kuhusu uraia mtoto? Maomba kujunzwa.
 
Mzazi kujifungulia inje ya nchi vp katiba inasemaje kuhusu uraia mtoto? Maomba kujunzwa.
mtoto ni wa south mkuu na tena wana sheria kali saana kuhusu watoto wao yaan kuwahamisha kwenda sehemu hata kama kusalimiaa tu utazungushwa saaana
 
Angejifungua kwanza ndo wakaanza drama kama walivyofanya kwa tiffah,labor sio kitu cha kufanyia matangazo dunia nzima......kwa normal delivery sio rahisi kujua ni lini au sa ngpi mtoto atatoka ni Mungu ndiye anayeamua cha muhimu waga ni sala na dua mbele za Mungu kuanzia moyoni nasio mdomoni na mitandaoni,sasa akili yote inawaza social media kuwapa updates fans wako,mara photo shoot aisee wawe serious
mpuuzi yule..!mpk sasa bila bila sijui kapigwa kisu..?!!
 
Hakika wafanyayo si vyema kama kweli hawajafunga ndoa, lakini kuna ewezekano wamefunga ndoa kisiri.

Siamini kama Waislam wanaweza kufanya hivyo na kama wanafanya basi na wao kwa wazazi wote wawili inawezekana kabisa kuwa ni watoto wa zinaa na hawana soni.
hawajaoana Zari ni murtadi bado hajasilimu...!!!
mtihani kweli
 
Finaly the boy is here hongera chibu na zari
 
Attachments

  • Screenshot_20161206-125421.png
    Screenshot_20161206-125421.png
    257.9 KB · Views: 47
Back
Top Bottom