Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kama kawaida sura ni kampun ipi ipande dau kupata sura yake mtoto.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoto kanimalizia MB zangu huyu...haha usku kucha nahaha inst,snapchart kumsubiria looh
Hahahahaha..Mtoto kanimalizia MB zangu huyu...haha usku kucha nahaha inst,snapchart kumsubiria looh
Hahaaaaa.....hobby nyingine ni sheedaKisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Ni kweli mkuu lkn sio hawa wa uzinzi Baraka ni yule wa ndoaHongera zenu kwa kweli . .watoto ni baraka kutoka kwa MAULANA
Hutu tumiguu anaokana atakuwa dancer mzuri tu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hutu tumiguu anaokana atakuwa dancer mzuri tu
Waganda hupenda mno kuwa na many kidsUyu naye duh mtoto wa 15 atakua
We umefunga??....... Au kazi yako kuhimiza wenzako tu?Lol...huyu bibi afunge kizazi sasa
We umefunga?Lol...huyu bibi afunge kizazi sasa
Swali zuri sana hilo. Pumbavu zao kabisa.Mbona watoto wenu hamuwasujudii kama huyo mtoto wa diamond?