Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

a90f0f3f7866b812f49c89e3228b0da9.jpg


5552aca3f3e30894dffa7a6e110f54cf.jpg


Kama kawaida sura ni kampun ipi ipande dau kupata sura yake mtoto.

Kuzaliwa baba na mmoja kuna raha yke sana.....!
 
Hongera zenu kwa kweli . .watoto ni baraka kutoka kwa MAULANA
 
Ohhh...wonderful! Very happy for the family. And hearty congratulations to the parents but mama especially for the 9months! Hongereni sana.
 
1481030272487.png

Amepost mdogo wake Zari instagram kuwa mtoto wa zari na Diamond ataitwa Karim Dangote.. Sijui Dangote limetoka wapi lakini
 
Kawaida Sana mkuu Jina kitu Gani.. Unaenda mahakamani unabadilisha kama mimi hili ndege John ndo official name langu. Tena KARim dangote bonge ya Jina dogo kashanukia ustar atakuwa mtu mkubwa bongo mark my word
 
Back
Top Bottom