UPDATES: Hatimaye Tundu Lissu aanza safari ya kurejea nyumbani

Ole wake apande ndege za magufuli maana alishangilia zilipokamatwa
Baadhi ya watu, mfano wewe,hudhani Rais ni mtu tajiri sana,ambaye hununua ndege,hujenga barabara n.k kwa pesa yake kutoka mfukoni, hivyo hata katika mikutano mbalimbali,hudiriki kumshukuru Rais sana,kwa ukarimu wake,pale anapotekeleza jambo fulani.

Elimu hutakiwa kutolewa, ili baadhi ya wananchi watambue kodi wanalipajekodi,na hakuna kiongozi yeyote ambaye hukitolea BURE kufanya kazi.
 
Mr Tundu Lissu Hatimaye anarudi Nyumbani Tanzania akitokea Uhamishoni nchini Belgium.



Your browser is not able to display this video.
 
Karibu home Antipas, njoo umsumbue kidogo huyu Mama wanayesema anaupiga mwingi haha! usisahau pia birthday yakee ni ijumaa, mpelekee keki from Belgium! Ila mwingi anaupiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…