UPDATES: Hatimaye Tundu Lissu aanza safari ya kurejea nyumbani

Karibu nyumbani kamanda..... sasahivi home pamekua "home sweet home" corona imesafisha Taifa
 
Ngoja tuwahi Airport [emoji23]
Kumsubiri mwamba
 
Asije akarogwa akapanda dreamliner au bombadier tutamsaga meno maana alishangilia zilipokamatwa
Atapanda, akipenda na huna cha kumfanya. Na polisi watakuwa tele wa kumlinda.

Wewe subiri siku utakapounganishwa na Bashite kwa mnyororo kupelekwa mahabusu, kusubiria kesi yenu ya kupanga na kushiriki tukio la kutaka kutekeleza mauaji.
 
Hukuuliza suali lakni hujibu kwasababu za upumbavu wako uliyojaa kichwani.

Alikusalitia nini?

1.5T iliyoibwa na jiwe mbona hukulalamika?

Hizo noha mlizoambiwa mtapewa jee ziko wapi?
Nonsense!.
 
Leo ni siku ya huzuni mno msaliti wa taifa Lisu mzee wa MIGA anarudi.

Mwambieni asipande ndege zetu maana alishangilia zilipokamatwa
Wamuambie pia hatukushtakiwa Miga kama alivyo taka.
Badalayake kuna Twiga Mining, ambayo Tz inapata gawio kubwa zaidi ya visent tulivyokuwa tuna pata hapo awali, kwa juhudi za hayati Rais Muaminifu na mzalendo wa kweli JPM.

Najiuliza sana hilo lijamaa lilitaka tushtakiwe Miga kwa manufaa ya nani.
 
Hivi what sos special.na huyu shoga mbona mnatuziba masikio. Kijitu chenyewe jogoo hapandi mtungi, amlete tu mkewe tumsaidie kupiga pamp,
 
Kajamaa kalikolindwa na Mungu kwa wivu mkubwa! Welcome back the greatest hero of the century. Mtumaini tu Mungu wako ni mwenye uwezo wa !ajabu
 
Hana lolote huyo msaliti wala hana uzalendo wowote ni mchumia tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole wake apande ndege za magufuli maana alishangilia zilipokamatwa
HIvi lile jambazi lilitoa pesa kwa mamake au kwa mjombako? Hizi ni kodi zetu na lilituibia chenji ya kutosha tutawadai siku si nyingi we inua mkia tu!
 
Yeye aje tu wala hatuna mpango naye ila mnatulazimisha kutupatia habari zake
 
karibu sana mdogo wangu nakukumbuka sana wakati tupo Ilboru Sekondari na Mungu akutangulie na akupe maisha marefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…