UPDATES: Hatimaye Tundu Lissu aanza safari ya kurejea nyumbani

Hatutaki Rais asiweza kusimama kwa masaa masaa mawili......

Uongozi utapata lakini sio uongozi wa kuwa Rais wa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Mkuu leo Sijaona kabisa ukitujuza kinachoendelea hapo uwanja wa ndege
 
Hakika usimruidie mwanamke uliempa Talaka.
 
Karibu tena nyumbani, yule bwana hayu....poooo!
 
Wazungu bwana jamaa anakuja kupigania ushoga ndio makubaliano yake na hao waliompa hifadhi, kumuunga mkono mdudu kama huyu nikumkosea muumba wambingu na nchi navyote vilivyomo.
 
Wazungu bwana jamaa anakuja kupigania ushoga ndio makubaliano yake na hao waliompa hifadhi, kumuunga mkono mdudu kama huyu nikumkosea muumba wambingu na nchi navyote vilivyomo.
Tuwekee ushahidi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…