Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #101
AmenEg. Musa kabla ya kuwakomboa waisrael utumwani ilibidi wamuondoe kwao tena akiwa mtoto mchanga,
Yesu kabla ya kuanza kazi yake alikimbizwa nje ya nchi yake kwanza,nk nk
Kama alijua ni kodi zake na mme wake Amsterdam kwa nini alikuwa anapinga zikinunuliwa?Yule Muhutu Mrundi Mwendakuzimu hajawahi kumiliki ndege, kodi za wananchi ndiyo zilinunua ndege hivyo basi ni ndege za wananchi.
Hawezi kukaa muda mrefu hapa nchini maana kule kamuacha bibiView attachment 2494962View attachment 2494963
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]kuna kila dalili .
Hawezi kukaa muda mrefu hapa nchini maana kule kamuacha bibiView attachment 2494962View attachment 2494963
This time itatumika moja tu!Upumbavu wako ni kuwa hamkuwa na Shabaha wakati mna mimina risasi 30+.
Sijui kama unaelewa kilichoandikwa.Mnyika na Pambalu ni wasugunsu?Kumbe Makamanda Mnyika na Pambalu hawana akili pia?
Umeandika Nini mkuu π π πMbona lisu anamind kuwa kwann lisu hakwenda kumpokea
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Dr, hebu jaribu kuedit hiki ulichokiandika hapa.Mbona lisu anamind kuwa kwann lisu hakwenda kumpokea
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app