UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

Jiwe liliondoshwa na Mungu kabisa kwa maombi na machoz ya wadai haki ndan na nje ya mipaka ya Tz.
 
Kwa hesabu za kawaida bado masaa maa 3 na dakika kadhaa,
 
Asante hayati rais Magufuli kwa kutuachia wosia wa kuacha hofu na kumtegemea Mungu kwa kila jambo.

Kimbunga Jobo na Corona wamekiona cha mtema kuni Tanzania.
Corona ikamfyeeeeeka fyuuuu. Sasa yu mzoga keshaoza huko chatto
 
Hiki kimbunga nacho miyeyusho sana. Sasa mbona kimya hadi muda huu.
Yaani hizi habari ndio maana huwaga sifwatilii mimi ikifika muda wa hali ya hewa. Nahama tu station.
 
Hiki kimbunga nacho miyeyusho sana. Sasa mbona kimya hadi muda huu.
Yaani hizi habari ndio maana huwaga sifwatilii mimi ikifika muda wa hali ya hewa. Nahama tu station.
lake zone watu wana hali mbaya sana mvua sio ya kawaida na upepo mkali sana......yan tulisema equator ni kinga ya cyclones sasa ndo imefuata huku huku..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…