UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

Ndio Tunamshukuru Sana!
Baada ya Yeye Kuona Kuwa Tumepigwa sana na kimbunga kwa miaka.5 na miezi kadhaa Katuhurumia
 
TMA hawana tofauti na waganga wa kienyeji
 
Nguvu ya asili kwa nguvu ya asili....chukua ng'ombe anageuziwa kibra inapigwa ibada yakimbunga ng'ombe akipotea basi kitaishia mipakani huko
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] nimecheka michango ya humu,ko wachawi mlitaka jobo itokee au? Mbona mnawashutumu TMA?
 
Hizo tropical cyclones ni ngumu sana kupiga nchi kavu, huwa vinafia huko huko majini au mara chache kuleta madhara ambayo si makubwa kama tunavyosikia huko majuu...
 
Siku zote huwa najiuliza haya majina ya vimbunga ni Nani huvitambua majina na iweje jina la kimbunga alijue?au Kuna Mambo nyuma ya pazia maana mwanadamu kuingilia kazi ya mungu
 
Kupitia nguvu za ulimwengu wa roho kipo kinapambana vikali huko na mpendwa wetu kiongozi alyetuacha na inaelekea kinataka kukata tamaa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…