UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

Kwani huko ambako kilikuwa hakijapoteza kasi mungu hakuwa Mungu ?

Tuseme tunashkuru kwa yeye kukipunguza kasi na tunazidi kuomba kisilete madhara kwetu

Zisianze propaganda Mungu wa kimbunga chenye kasi ndio Mungu huyo huyo wa kimbuka kisichokuwa na kasi
Ndio Tunamshukuru Sana!
Baada ya Yeye Kuona Kuwa Tumepigwa sana na kimbunga kwa miaka.5 na miezi kadhaa Katuhurumia
 
Nguvu ya asili kwa nguvu ya asili....chukua ng'ombe anageuziwa kibra inapigwa ibada yakimbunga ng'ombe akipotea basi kitaishia mipakani huko
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] nimecheka michango ya humu,ko wachawi mlitaka jobo itokee au? Mbona mnawashutumu TMA?
 
Hizo tropical cyclones ni ngumu sana kupiga nchi kavu, huwa vinafia huko huko majini au mara chache kuleta madhara ambayo si makubwa kama tunavyosikia huko majuu...
 
Siku zote huwa najiuliza haya majina ya vimbunga ni Nani huvitambua majina na iweje jina la kimbunga alijue?au Kuna Mambo nyuma ya pazia maana mwanadamu kuingilia kazi ya mungu
 
Kupitia nguvu za ulimwengu wa roho kipo kinapambana vikali huko na mpendwa wetu kiongozi alyetuacha na inaelekea kinataka kukata tamaa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom