Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Wanasubiria kusikia kimbunga kinasemajeKwani watanzania wenyewe wanasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasubiria kusikia kimbunga kinasemajeKwani watanzania wenyewe wanasemaje?
Mungu aliyetushidia Corona ndiye katushindia na kimbunga
Kilianzia bahariniHuko ilikoanzia imeleta madhara ?
Ndio Tunamshukuru Sana!Kwani huko ambako kilikuwa hakijapoteza kasi mungu hakuwa Mungu ?
Tuseme tunashkuru kwa yeye kukipunguza kasi na tunazidi kuomba kisilete madhara kwetu
Zisianze propaganda Mungu wa kimbunga chenye kasi ndio Mungu huyo huyo wa kimbuka kisichokuwa na kasi
Aah safi tu tena ikibidi mwambie financial services ndiye mhazini/dikoni wa kanisani kwako, anione kwa mambo yahusuyo sadaka😀[emoji2][emoji2][emoji2] Sasa mtu anataka akupee Sadaka. Utakataa [emoji41]
Haha [emoji23][emoji23][emoji23]Aah safi tu tena ikibidi mwambie financial services ndiye mhazini/dikoni wa kanisani kwako, anione kwa mambo yahusuyo sadaka[emoji3]
niko hapa shangirai nakusubiri..Chuga
Amiiiiiiina watalegea tu sisi tuna Imani na mungu anatusimamia kwa Kila Jambo baya hutuepushaNaamini Tanzania ni moja kati ya mataifa teule ya Mungu, baada ya Israeli ni Tanzania.... hallelujah.