UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

lake zone watu wana hali mbaya sana mvua sio ya kawaida na upepo mkali sana......yan tulisema equator ni kinga ya cyclones sasa ndo imefuata huku huku..
Wewe upo mikoa yote ya Lake zone? Ni Mkoa gani huko mvua inapiga sana muda huu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aloo kikiwakuta hapo mbona mtatafutana, unaweza ukajikuta Upo juu ya mti
Mkuu huku niliko tumejulishwa kwamba "jobo" ni fiksi tu, muda huu tunapiga gambe kwa kwenda mbele tu.
 
Hapa Arusha kuna mvua Kubwa sana inanyesha muda huu
Sasa na wewe ndugu umeambiwa kimbunga kitaathiri maeneo ya pwani.

Pwani kwenyewe hali shwari. Huko arusha si mvua tu kawaida. Au kimeruka sambasoti.
 
Back
Top Bottom