Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Poleni sana MkuuHuku lake zone kina piga balaa subiri taarifa ya habari kesho. Sasa hivi watu wapo bizy kusomba maji ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana MkuuHuku lake zone kina piga balaa subiri taarifa ya habari kesho. Sasa hivi watu wapo bizy kusomba maji ndani
Haa kweli unataka sadaka mkuu wewe 😀😀🙌Nicheki PM
Wewe upo mikoa yote ya Lake zone? Ni Mkoa gani huko mvua inapiga sana muda huu?lake zone watu wana hali mbaya sana mvua sio ya kawaida na upepo mkali sana......yan tulisema equator ni kinga ya cyclones sasa ndo imefuata huku huku..
mwanza hali si njema..Wewe upo mikoa yote ya Lake zone? Ni Mkoa gani huko mvua inapiga sana muda huu?
Asante vipi huko kwenu hakija fika au kitafika asubuhiPoleni sana Mkuu
Mkuu huku niliko tumejulishwa kwamba "jobo" ni fiksi tu, muda huu tunapiga gambe kwa kwenda mbele tu.Asante vipi huko kwenu hakija fika au kitafika asubuhi
Poleni sana Mkuu.mwanza hali si njema..
Mkuu huku niliko tumejulishwa kwamba "jobo" ni fiksi tu, muda huu tunapiga gambe kwa kwenda mbele tu.
Hapa Arusha kuna mvua Kubwa sana inanyesha muda huuHuku lake zone kina piga balaa subiri taarifa ya habari kesho. Sasa hivi watu wapo bizy kusomba maji ndani
Mungu atupe uzima hali ya hewa imechange ghaflamwanza hali si njema..
Aisee!Mungu atupe uzima hali ya hewa imechange ghafla
Kijimvua cha kishkaji kimetoka kukata sasa hivi.Mungu atupe uzima hali ya hewa imechange ghafla
🙏🙏🙏Ndio maana ukaitwa "Utabiri", maana yake inaweza kutokea au isitokee.
asante mkuu..Poleni sana Mkuu.
wapi huko mkuu Bushmamy pole yetu..Mungu atupe uzima hali ya hewa imechange ghafla
Mzee baba hii U turn uliyopiga hapa kiboko kwasisi tuliokuwa tunaujuwa msimamo wako.Dah.....haya majanga hayawezi kuisha hadi pale CCM itakapong'oka madarakani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2] Sasa mtu anataka akupee Sadaka. Utakataa [emoji41]Haa kweli unataka sadaka mkuu wewe [emoji3][emoji3][emoji119]
Sasa na wewe ndugu umeambiwa kimbunga kitaathiri maeneo ya pwani.Hapa Arusha kuna mvua Kubwa sana inanyesha muda huu