Naiona LOWASSA institution, Mgeja and Ole Medeye ndani ya nymba
Nyie watu wa Arusha Mmefeli sana. Mmepitwa mbali sana na watu wa Mbeya
Picha zinaeleweka kuliko maneno yako...chukua hizo zinazokuja ziweke mwanzoni mwa uzi wako....watu wanahisi watazuiwa na polisi, hivyo wameamua kuwahi mapema.