Yaani watu wanampenda huyu Mzee Lowassa jamani....!!!
Kila kona watu wamejaa, kila mtu ANAKUJAAAAA...anakujaaaa...anakujaaaa...anakujaaaa...
Hata hawana haja ya kumalizia kusema ni nani ANAKUJAAAAA....
Mamilioni wamejaa Arachuga leo...tokea Singida, Kilimanjaro, Tanga, Mwanga, Manyara...!! wengine wamelala nje, stadium...!!!
Yaani watu leo ni kujiremba tu, anakujaaaa, anakujaaaa, anakujaaaaa....
Jamaniii...Huyu ni Messiah...!!! Mteule wa Mungu kabisaa....!!!
Mimi sijawahi ona watu wakiwa hivi...sijapata kuona...niliona Marekani mara ya kwanza Obama akiapishwa tu...
watu walilia sana kwa furahaaa na uchunguuu....
Ndio naona watanzania leo...wanalia sanaaa kwa furahaaaa na uchunguuu wa kumpenda Lowassa...!!!
Vilio vya FURAHAAA.. 😭😭😭😭watu wanaliaaa kwa furahaaa iliyo na uchungu wa ukombozi ndani yao...
toka chini kabisa ya sakafu ya mioyo ya WATANZANIA WOTE....!!!!
Anakujaaa....anakujaaaa...anakujaaa...
Rchuga leooooooooo...!!!