Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Wana Arusha/Watanzania wanakuja kumwangalia FISADI akirekodi Mapicha ya Mafuriko ya Watu badala ya Maji. Lakiri Kura zao ni kwa Chama Dume CCM Chini ya Jembe DR Magufuli

jembe aende shamba..
 
Hahahahaha Oil Chafu kiboko ya mchwa
 

Attachments

  • 1439633510990.jpg
    38.7 KB · Views: 853
Wadau wenye mapenzi mema na chama karibuni kesho mwanza viwanja vya furahisha
 
Niko uwanjani hapa tindigani watu Ni wengi sana na bado wanaendelea kujaa Kwa wenye usafiri mnashauriwa kupark magari, pikipiki kwenye shule ya Msingi iliyoko karibu vinginevyo huku hutopata pakuegesha gari...

Mkuu wewe huezipiga hata picha Mbili?!!
 

hahaaaaa..... maumivu yanaendelea, na bado kesho mwanza..
 
Mbona hairushwi kwenye live jamani??.. Jana watu yumekodolea macho TV mpaka baasi... Taarifa yoyote kama waleo utaonekana please
 
Ccm wakiona picha wanashikwa na tumbo la kuharisha
 
nipo arusha hapa naona wanakunywa mbege na bia nyingi watu hawaamini yule ccm number one leo wako nae meza moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…