Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Hili jinga lao kweli ni jinga,mimi nashindwa kuelewa umelelewaje mpaka inafikia point unajivua nguo na utu wako kiasi hiki!
 
Updates za leo zinaniangusha sana yaani nilichotegemea, sio! Maelezo ni mengi mno, lakini picha zinarudiwa zilezile, :big up kwa wana mbeya kwa updates nzuri siku ya jana.
 
Updates za leo zinaniangusha sana yaani nilichotegemea, sio! Maelezo ni mengi mno, lakini picha zinarudiwa zilezile, :big up kwa wana mbeya kwa updates nzuri siku ya jana.

Wapi Chademakwanza et al?
 
Last edited by a moderator:
Hili jinga lao kweli ni jinga,mimi nashindwa kuelewa umelelewaje mpaka inafikia point unajivua nguo na utu wako kiasi hiki!

Acha watu wajue ukweli.hiki sio kizazi cha propaganda
 
Nape alimdhalilisha sana mtu wa umri mkubwa -ni chukizo kwa mungu-kwanini yeye tu na ritz na makonda kwani chama hakikuwa na wazee wa kuongea na el
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…