Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Lau Masha:
Maamuzi magumu yamefanyika hivi leo, lakini ni maamuzi muhimu, sitaongea leo, nitangaze tu kwamba nimejiunga rasmi chadema
 
bado wiki moja tu, lowassa naye ataonekana wa kawaida
 
Robinson m/kiti uvccm:
Wale Wakristo kuna wimbo unaosema Nimetoka kwa Farao misri sirudi tena.
Kuna kijana moja kazi yake ni kuongea uchafu, anasema oil chafu, anasahau oil chafu ndiyo inayoendesha mitambo.
Anasema Ufalme ukianguka sheria haina budi kubadilika.
Nataka niwaambie tunazijua mbinu zao zote, waandike maumivi maana ikulu tunaenda maana inatuhusu.
Lowassa anasema tumechoka na umaskini, tunakwenda kuwasaidia vijana kuhusu ajira.
Watanzania tuna fimbo yetu ya kuwapiga ccm, nayo ni kadi ya kupiga kura
 
Ongeza idadi yao mambo safiiiiiiiiiiiiiiiiiii-mbowe unajua siasa
 


Mpaka kieleweke
Mussolin5 pandisha update juu
 
Last edited by a moderator:
Dilution point. . . . . .maji moto yanapoa taratiibu na mchemshaji yuko na furaha kabisa
 
Ole Medeye:
Anaimba kuwa Mwambie Kikwete nimezinduka, ccm sirudi tena.
Nimejitoa ccm kwa sababu mbili kuu, ya kwanza dhuluma imezidi ndani ya ccm, wanaapa kinafiki kuwa watailinda katiba ya nchi wakati wanaivunga, pili rushwa imekithiri katika taifa hili, nilifikiri kupitia ccm ningeshiriki kupiga vita rushwa, lakini matokeo yake kumbe niliowaamini kupiga vita rushwa ndiyo wanaotoa rushwa.

Hivyo nimejiondoa ccm ili tuweze kurudisha maadili ya nchi
 

Mungu wangu hakuna haja ya kufanya uchaguzi mwaka huu....hata kama ni sifa hii imepitiliza
 
Masha ni hasara. Ila ndo hivyo tena.

Atafata Karamagi kesho Mwanza, then Rostamu kisha Manji afu mchezo unamalizwa na JK kumchinjia baharini makomeo....

Jamaa wamejipanga kurudi kupitia mlango wa Chadema. Aibu!!
 
Subiri kampeni zianze.....!! UKAWA mmetangulia na baskeli ya mti......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…