Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@moderater na nyie mnakua kama watangazaji wa tbc....hebu pandisheni hizo picha kwenye hiyo thread hpo juu!
wana arusha wanamtaka dr slaa hawamtaki lowasa
Breaking news from Arusha
Waliojiunga na CHADEMA:
Laurence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe
Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara
Robinson Mwenyekiti wa uv ccm Arusha
Sioi Sumari
Yona Nko aliyekuwa mkiti ccm mkoa Arusha
Mgombea ubunge Simanjiro
Goodluck Sipira katibu wa ccm Arusha anatokea Longido
Wazee wa kimila wa kimasai nchi nzima
Wazee wa kimila wa kimeru wote wakiongozwa na Mshili Mkuu
Moto wa mabua tuu huu!
Haunguzi hata handkerchief
watanzania jitokezeni kwa wingi kumshangaa fisadi lowasa
Breaking news from Arusha
Waliojiunga na CHADEMA:
Laurence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe
Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara
Robinson Mwenyekiti wa uv ccm Arusha
Sioi Sumari
Yona Nko aliyekuwa mkiti ccm mkoa Arusha
Mgombea ubunge Simanjiro
Goodluck Sipira katibu wa ccm Arusha anatokea Longido
Wazee wa kimila wa kimasai nchi nzima
Wazee wa kimila wa kimeru wote wakiongozwa na Mshili Mkuu
Moto wa mabua tuu huu!
Haunguzi hata handkerchief
ya Rachel yaweza kutokea, UKAWA ni toroka uje.Nahisi kama jk nae atachukua kadi!!!!!
Tupia pichaLaurence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe
Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara
Robinson Mwenyekiti wa uv ccm Arusha
Sioi Sumari
Mafuriko ya arusha yamewazoa na kuwatakatisha.