Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Kumuona na kumpigia kura lowassa ni vitendo viwili tofauti""" umati wa watu sio tiketi ya lowassa kuwa rais,,, kaa ukijua tanzania ni kubwa sana na tuko zaidi ya 15 mil tuliojiandikisha,, je huo umati ni asilimia ngapi ya waarusha waliojiandikisha?? Vipi huo umati ni wangapi wana sifa za kupiga kura,, je huo umati unawageni wangapi ambao waliokuwa dar mbeya na leo ARusha??
 
Masha aligombea Sengerema kashindwa na Ngeleja kaamua akimbilie Chadema
 
hii sinema mwisho wake baada ya 25 October!
 
Sipati picha jmn WENJE NA MASHA LEO WANAKUWA MARAFIKI KWELI SIASA SIO UADUI
 
Kumuona na kumpigia kura lowassa ni vitendo viwili tofauti""" umati wa watu sio tiketi ya lowassa kuwa rais,,, kaa ukijua tanzania ni kubwa sana na tuko zaidi ya 15 mil tuliojiandikisha,, je huo umati ni asilimia ngapi ya waarusha waliojiandikisha?? Vipi huo umati ni wangapi wana sifa za kupiga kura,, je huo umati unawageni wangapi ambao waliokuwa dar mbeya na leo ARusha?? Mabadiliko yanahitaji watu wenye dhamira ya dhati,,
 
vp hivi unaweza kwenda kunywa kikombe loliondo kama unaumwa malaria?hebu tuambie magufuli ana tatizo gani kiafya,na je kikombe kilimtibu?
 
Kufikia saa 12 utakuwa ushakimbizwa Mirembe.
 
Kumuona na kumpigia kura lowassa ni vitendo viwili tofauti""" umati wa watu sio tiketi ya lowassa kuwa rais,,, kaa ukijua tanzania ni kubwa sana na tuko zaidi ya 15 mil tuliojiandikisha,, je huo umati ni asilimia ngapi ya waarusha waliojiandikisha?? Vipi huo umati ni wangapi wana sifa za kupiga kura,, je huo umati unawageni wangapi ambao waliokuwa dar mbeya na leo ARusha?? Mabadiliko yanahitaji watu wenye dhamira ya dhati,,
 
Masha ni hasara. Ila ndo hivyo tena.

Atafata Karamagi kesho Mwanza, then Rostamu kisha Manji afu mchezo unamalizwa na JK kumchinjia baharini makomeo....

Jamaa wamejipanga kurudi kupitia mlango wa Chadema. Aibu!!

ahahahahaaaaaaa.......
umesababisha nicheke tu kwa sauti kubwa sana...mkuuu
 
Mwaka huu ni noma sana chadema mwaka wetu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…