Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

ImageUploadedByJamiiForums1439644852.525986.jpg unaiitaje hio?
 
Clock tower imetulia kwa sababu watu wengi wako kimandolu na ndio maana ya Mji kusimama. Mwanzoni hata mimi niliamini lowasa huwa analeta watu na mabasi leo nimeamini maana from no where hata family yangu wamenishikia chini eti wanataka kumwona lowasa kana kwamba ni mpya sana. Kweli nimeamini ukisema wa nini wenzio wanasema nitampa lini

Kumuona na kumpigia kura lowassa ni vitendo viwili tofauti""" umati wa watu sio tiketi ya lowassa kuwa rais,,, kaa ukijua tanzania ni kubwa sana na tuko zaidi ya 15 mil tuliojiandikisha,, je huo umati ni asilimia ngapi ya waarusha waliojiandikisha?? Vipi huo umati ni wangapi wana sifa za kupiga kura,, je huo umati unawageni wangapi ambao waliokuwa dar mbeya na leo ARusha??
 
Masha aligombea Sengerema kashindwa na Ngeleja kaamua akimbilie Chadema
 
Sipati picha jmn WENJE NA MASHA LEO WANAKUWA MARAFIKI KWELI SIASA SIO UADUI
 
Clock tower imetulia kwa sababu watu wengi wako kimandolu na ndio maana ya Mji kusimama. Mwanzoni hata mimi niliamini lowasa huwa analeta watu na mabasi leo nimeamini maana from no where hata family yangu wamenishikia chini eti wanataka kumwona lowasa kana kwamba ni mpya sana. Kweli nimeamini ukisema wa nini wenzio wanasema nitampa lini

Kumuona na kumpigia kura lowassa ni vitendo viwili tofauti""" umati wa watu sio tiketi ya lowassa kuwa rais,,, kaa ukijua tanzania ni kubwa sana na tuko zaidi ya 15 mil tuliojiandikisha,, je huo umati ni asilimia ngapi ya waarusha waliojiandikisha?? Vipi huo umati ni wangapi wana sifa za kupiga kura,, je huo umati unawageni wangapi ambao waliokuwa dar mbeya na leo ARusha?? Mabadiliko yanahitaji watu wenye dhamira ya dhati,,
 
Sasa unasemaje mji umesimama wakati upande mwingine watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida*** unajua maana ya mji kusimama?? Rais wenu atakaguaje gwaride,, amir jeshi mkuu atakuwaje na afya ambayo sio nzuri,, amir jeshi atakuaje anapoteza kumbukumbu,, hatuhitaji kuwa kwenye risk ya kuitisha uchaguzi kabla ya 2020. Tunahitaji rais aliye fit kiafya..

vp hivi unaweza kwenda kunywa kikombe loliondo kama unaumwa malaria?hebu tuambie magufuli ana tatizo gani kiafya,na je kikombe kilimtibu?
 
Kumuona na kumpigia kura lowassa ni vitendo viwili tofauti""" umati wa watu sio tiketi ya lowassa kuwa rais,,, kaa ukijua tanzania ni kubwa sana na tuko zaidi ya 15 mil tuliojiandikisha,, je huo umati ni asilimia ngapi ya waarusha waliojiandikisha?? Vipi huo umati ni wangapi wana sifa za kupiga kura,, je huo umati unawageni wangapi ambao waliokuwa dar mbeya na leo ARusha??

Kufikia saa 12 utakuwa ushakimbizwa Mirembe.
 
Clock tower imetulia kwa sababu watu wengi wako kimandolu na ndio maana ya Mji kusimama. Mwanzoni hata mimi niliamini lowasa huwa analeta watu na mabasi leo nimeamini maana from no where hata family yangu wamenishikia chini eti wanataka kumwona lowasa kana kwamba ni mpya sana. Kweli nimeamini ukisema wa nini wenzio wanasema nitampa lini

Kumuona na kumpigia kura lowassa ni vitendo viwili tofauti""" umati wa watu sio tiketi ya lowassa kuwa rais,,, kaa ukijua tanzania ni kubwa sana na tuko zaidi ya 15 mil tuliojiandikisha,, je huo umati ni asilimia ngapi ya waarusha waliojiandikisha?? Vipi huo umati ni wangapi wana sifa za kupiga kura,, je huo umati unawageni wangapi ambao waliokuwa dar mbeya na leo ARusha?? Mabadiliko yanahitaji watu wenye dhamira ya dhati,,
 
Masha ni hasara. Ila ndo hivyo tena.

Atafata Karamagi kesho Mwanza, then Rostamu kisha Manji afu mchezo unamalizwa na JK kumchinjia baharini makomeo....

Jamaa wamejipanga kurudi kupitia mlango wa Chadema. Aibu!!

ahahahahaaaaaaa.......
umesababisha nicheke tu kwa sauti kubwa sana...mkuuu
 
Mwaka huu ni noma sana chadema mwaka wetu huu
 
Back
Top Bottom