salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 652
hii safi sana maana hata el akishinda kwa uhakika kabisa ataunda serikali yenye 4u movement wengi pamoja na friends of el. M4c na bavicha watakuwa wachache sana, kwa maana nyingine itaundwa serikali ya ccm ndani ya ukawa. Anaebisha abishe tu.
Endeleeni kujifariji na makapi yenu. Mtu anahama chama kwa kuwa mtoto wake kakosa ubunge wa viti maalumu? Lowasa ni fisadi na ndio maana kamati ya maadili imemkuta na matatizo lukuki.
Yakiisha makapi yote, CCM itakuwa chama salama, chenye kufuata misingi.
Cha kufurahisha ni kwamba wanaojiunga CHADEMA asilimia kubwa ni wa kutoka mikoa ya Kaskazini. Maeneo mengine hali ipo kimya.
Masha aligombea Sengerema kashindwa na Ngeleja kaamua akimbilie Chadema
Mkuu,Hivi Sioi bado alikuwa CCM? Masha alishinda kura za maoni kule Sengerema kweli?
Mkuu hapa suala siyo Richmond bali ni kunadi sera na ilani za vyama. Mgombea wa CHADEMA ataweza kweli kusimama na kunadi sera za CHADEMA? Anazifahamu? Au atakuwa ananadi za CCM wakati mgombea mwenza ananadi za CUF! Watu watachanganyikiwa na Magufuli anaingia Ikulu akiwa na CCM iliyotakasika!
Please hebu nipe jibu hakuna radio yoyote direct tokea hapo?
Mafuriko ya Mh.Lowasa leo yapo Arusha,mji umesimama!!
Chama chao
unategemea wanachama wapya watatoka mbinguni?
Walikuwa watia nia 38 kama sikosei, 5 ndo walionekana na maadili. Lowassa umemtaja kuwa fisadi ndo maana kamati ya maadili ilimkuta na matatizo lukuki, swali langu hao wengine waliokatwa na panga la maadili na bado wapo ccm wamebadilika na maadili yamerudi?
We ndooorobo kweli na ccm yako.hivi mnaandika lakin?
Mimi naona mnazid kupagawaa
Leo mmemkata lowasa kwa kuwa ni fisadi ushahid hamna.
Then kesho wake mnawapitisha watu kama chenge wa escrow tibaijuka wa escrow na ngeleja wa esrow kwenye kugombea ubunge watu waliokiri wenyewe kuhusika na ufisadi ule.
Hivi mna akili timamu nyinyi.