salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 652
hii safi sana maana hata el akishinda kwa uhakika kabisa ataunda serikali yenye 4u movement wengi pamoja na friends of el. M4c na bavicha watakuwa wachache sana, kwa maana nyingine itaundwa serikali ya ccm ndani ya ukawa. Anaebisha abishe tu.
Upinzani imara utatoka ccm alisema Nyerere; sina uhakika kama alimaanisha itakayotoka ccm ni oili chafu au makapi. Kwa vyovyote alimaanisha watatoka watu thabiti, imara, wenye nguvu za kweli za kisiasa za upinzani; akimaanisha watakataa ujinga fulani mle ndani sasa hapo makapi nani aliyetoka au aliyebaki? Zingatieni kauli za Mwalimu hakuwa anabwabwaja wala kuvuvuzela