Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA


ni ujumbe mwafaka kabisa
 
'kila siku huwa nakaa najiuliza hivi KINYONGA ana rangi gani?.

Siku nikija kuijua rangi ya KINYONGA ntafurahi sana'
 
Hivi sifa ya mtu kujiuanga na Chama anatakiwa asiwe amewahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa? Au mimi ndiye sielewi hawa CCM wanamaanisha nini wanaposema CHADEMA wanachukua makapi?
 
Hivi sifa ya mtu kujiuanga na Chama anatakiwa asiwe amewahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa? Au mimi ndiye sielewi hawa CCM wanamaanisha nini wanaposema CHADEMA wanachukua makapi?

Mfa maji mkuu,biznee ya prof lipumba ishawakata hawana hamu
 
Lema kaagizwa aende Tanesco afuatilie umeme akishindwa ampigie simu low as a.
 
Haki ya Mungu nimekupenda bure, tafadhali niko tayar kuwa mkeo hata WA pili Tu sijali

Mkuu umejipatia second wife buree upewe nini sasa...huku Lowass huku mke mdogo kama nakuonea dongo vileeee.
 

Mkuu hayo maneno ya makapi na oil chafu ni kukataa tamaa!umati wote huo unaondoka unafikiri watasema nini?
 
Lugha Mbaya na Siasa Mbaya Nadhani Zimeasisiwa Siku Dr. Magufuli Alipochukua Form ya Kugombea Urais. Nakumbuka Mh.

JK Alitamka "Adui Ni Adui Tu, Hakuna Adui Mdogo,Akiwa Upande wa Pili Mpelekee Huko Huko". So Statement Kama Hizi

Zinaashiria Nini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…