iyengamuliro
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 819
- 366
Cha kufurahisha ni kwamba wanaojiunga CHADEMA asilimia kubwa ni wa kutoka mikoa ya Kaskazini. Maeneo mengine hali ipo kimya.
Nawale wa Mbeya walikuwa wa kaskazini?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kufurahisha ni kwamba wanaojiunga CHADEMA asilimia kubwa ni wa kutoka mikoa ya Kaskazini. Maeneo mengine hali ipo kimya.
Lema:
Nasikitika Rais wetu amepokelewa na mabomu, vijana wamezuiwa.
Wanachokifanya hivi sasa ni kutengeneza mazingira ya kuiba kura kutufundisha uwoga.
Nampa taarifa IGP kuwa kama wamezoea kuua sisi tumezoea kuwa maiti.
Dhambi mbaya kuliko zote duniani ni uwoga.
Polisi wanamzuia Rais wetu asishiriki msiba wa rafiki yake kwa hofu tu akienda atamfunika kikwete.
Namuahidi Rais Lowassa kuwa kura yake Haitaibiwa.
Watu wakiamini kuwa hatuwezi kushinda kwa njia ya demokrasia, watatafuta mbinu nyingine kushinda.
Usalama mwambieni Kikwete yeye sasa ni rais, lkn hii nchi siyo ya mama yake wala ya baba yake
j KIKWETE 2015Haya yule mtabiri wetu anayetabiri majanga makubwa Pro TB Joshua kanena Raisi ni Lowassa teh teh teh
![]()
Hivi sifa ya mtu kujiuanga na Chama anatakiwa asiwe amewahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa? Au mimi ndiye sielewi hawa CCM wanamaanisha nini wanaposema CHADEMA wanachukua makapi?
Mtajuta mwaka huu hayo mnayoyaita makapi yatawanyoosha poor guys mnatia huruma
Mkuu,Hivi sifa ya mtu kujiuanga na Chama anatakiwa asiwe amewahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa? Au mimi ndiye sielewi hawa CCM wanamaanisha nini wanaposema CHADEMA wanachukua makapi?
Mushana kuna nini wengine tunakuwa hatupo kwenye TVAngalia ITV breaking news sasa hivi
Haki ya Mungu nimekupenda bure, tafadhali niko tayar kuwa mkeo hata WA pili Tu sijali
Namsubiri Humphrey Harakaharaka aliyesema atatembea nchi nzima kuzuia mafuriko kwa mdomo.
Namsubiri Humphrey Harakaharaka aliyesema atatembea nchi nzima kuzuia mafuriko kwa mdomo.
Upinzani imara utatoka ccm alisema Nyerere; sina uhakika kama alimaanisha itakayotoka ccm ni oili chafu au makapi. Kwa vyovyote alimaanisha watatoka watu thabiti, imara, wenye nguvu za kweli za kisiasa za upinzani; akimaanisha watakataa ujinga fulani mle ndani sasa hapo makapi nani aliyetoka au aliyebaki? Zingatieni kauli za Mwalimu hakuwa anabwabwaja wala kuvuvuzela
If can't fight them, JOIN THEM !