Wakuu heshima kwenu,
Kwanza nianze kutoa pole kwa wanaofurahia mafuriko ambao umekuwa msemo wa ukawa.
Binafsi ukawa na mafuriko ni watu wanafiki wanaokumbatia ufisadi, kuwafanya wananchi watoto wadogo
walizunguka nchi nzima wakipinga ufisadi na baadae sasa hivi wanazunguka kuutakasa huo huo ufisadi na
watu ni wale wale hii ni aibu kubwa.
Nawapongeza Dr. Slaa, Prof. Lipuma na wengine wengi amambao hamjajitangaza lakini mtaonesha msimamo
wenu kuukataa unafiki huu uliofanywa na wababe wachache ndani ya UKAWA kwenye uchaguzi tar 25 oct.
Hakika hii ndiyo itakuwa GARIKA kubwa ambayo itawakumba wengi nakuacha huzuni kubwa kwa waliokuwa
na matumaini ya kuingia ikulu ili wakaendeleze dili zao binafsi huku wengine wakiomba msaada na kubisha hodi
mlango wa ccm ili waingie tena na kukuta umefungwa kwa KUFULI kubwa na waliomo ndani watasema
hatukufunga sisi mwambieni RAIS J.P. MAGUFULI ndo mwenye uwezo wa kufungua.
MAFISADI, WALARUSHWA NA WAZEMBE JISAFISHENI GARIKA YAJA ITAWAKUMBA WOTE OCT,25 2015
MAGUFULI NDIYE GARIKA AJAYE.