Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Mwanzoni umetanguliza kuponda sa hilo swali jibu lake unalo wew ! Acha kupigia mistari majibu yako , people's power ! Ukawa ndo jibu letu
 
makapi..kama yuko in love na cdm kwa nini ajiunge baada ya kushindwa kura ya maoni. gamba oppurtunist. magamba yanakoboka ccm na kutua cdm...amen
Hii pia inaweza kuashiria kuwa kuna waliopita kura za maoni lakini ni wapenzi wa Lowassa; adui wa ndani ni hatari zaidi...just curious.
 
hizi hapa picha kaabla hajaja lowassa,ilikua sa 8 kisha sim yangu ikaisha chaji badae nyomi ilikua kuba kuliko kawaida, hapa nilikua katikakati napiga pcha
 

Attachments

  • f.jpg
    368.5 KB · Views: 493
  • g.jpg
    302.2 KB · Views: 475
  • j.jpg
    228.8 KB · Views: 464
  • k.jpg
    168.2 KB · Views: 454
  • l.jpg
    337 KB · Views: 383
  • m.jpg
    323.1 KB · Views: 346
  • n.jpg
    261.9 KB · Views: 326
  • p.jpg
    271.8 KB · Views: 324
  • q.jpg
    396.1 KB · Views: 332
  • Sight_2015_08_15_144248_313.jpg
    400 KB · Views: 379
  • WP_20150815_15_12_35_Pro.jpg
    282.4 KB · Views: 344
  • Sight_2015_08_15_145925_618.jpg
    385 KB · Views: 330
  • Sight_2015_08_15_145819_055.jpg
    234.5 KB · Views: 323
  • Sight_2015_08_15_145534_078.jpg
    305.2 KB · Views: 273
  • Sight_2015_08_15_145444_221.jpg
    338.2 KB · Views: 239
  • Sight_2015_08_15_145555_367.jpg
    236.2 KB · Views: 242
  • Sight_2015_08_15_145615_503.jpg
    290 KB · Views: 241
  • Sight_2015_08_15_145506_903.jpg
    301.3 KB · Views: 238
  • Sight_2015_08_15_145426_808.jpg
    247 KB · Views: 248
  • Sight_2015_08_15_144916_214.jpg
    376.9 KB · Views: 255
Wakuu nafikiri kazi imekwisha kwa Arusha, haikuwa kazi nyepesi kwani changamoto za network zilitukwamisha sana leo, ila tunamshukuru mungu tumemaliza salama. Tukutane kesho pale Mwanza.

mkuu mabomu yamepigwa sehemu gani? mbona naona taarifa ya mabomu kupigwa lakini sioni yamepigwa wapi?
 

Mkuu naona unajitahidi kupambania chama lako. hongera kwa kutekeleza wajibu wako
 
Mfanyakazi - lowasa kupandisha mishahara.
Motomoto - lowasa ni shiiida.
Sanifu - gharika la lowasa lamsomba lau masha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…