Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Nashangaa sasa hivi ndio naipata jf ilikuwa haifunguki kabisa uwanjani Tindigani nikadhani ni mimi pekee yangu. Kweli network ilikuwa shida.
 

Duuu Lowasa kachukua na general tyre? Atuambie kwanini kachukua kiwanda chetu?
 
Pamoja na kumkubali Magufuli mpaka sasa nashindwa kuelewa hi CCM wanashindaje yaani hainiingii akilini hata kidogo.
 
Kwa hiyo CCM imewanyang'anya CHADEMA ajenda ya ufisadi na kwamba hao waliotoka wameondoka na ufisadi na kuuhamishia huko walikokwenda?
 
Wakuu nafikiri kazi imekwisha kwa Arusha, haikuwa kazi nyepesi kwani changamoto za network zilitukwamisha sana leo, ila tunamshukuru mungu tumemaliza salama. Tukutane kesho pale Mwanza.
kamanda Mungu akubariki sana kwa wema uliotufanyia .
 

yeah bro, madam tumewakamata relax punguza mzuka wasikutie presha nashauri timu kali iende mtama kwa nape akose raha maana tuna pa kuanzia
 
mafuriko ya kumshangaa fisadi lowasa yanaelekea baharini. Dr magufuli ndo mteule wa watanzania kwenda ikulu
 

Hata Chadema hakuna system hiyo ya kuzuia ufisadi. Kuna kujitoa akili lakini unajua vizuri boys two men walivyoharibu mfumo huo tangu wanapatana na tangu wakosane. Issue nayo iona ni wachache kuamua kuwa wasemaji wa watanzania wote. Bado tuko wengi tusiofurahia huo ukawa feki. Ila kwenye jf and whatsup utasikia watanzania wanataka ukawa as if kuna mtu kawa hoji watanzania wote. Watu 23m waliojiandikisha ni wengi mno kuliko umati wa watu hawafiki hata laki unaowaona kwenye mikisanyiko hii.
 
Ahahahahahahahahaaaaaa "Pombe mwisho counter mtaani Lowasa" na kweli sijamsikia kabisa hiyo jamaa hata kwenye chama chake hawamtaji kabisa
 
Nakubaliana nawe lakini la msingi ni kuwa siyo ufisadi wetu ni beyond an individual. It needs to be found systemically! Na ni vigumu (sisemi haiwezekani) kupugwana ndani ya chama dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…