Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Sawa sawa..coz haina maana kukesha barabarani mwisho wa siku hawapigi wala hawalindi kura zao..ni wastage of time and money..ngoja tusubili hiyo October,2015 mkuu

Mkuu mbona ni utamaduni watu Wa A town kukesha kulinda kura ,umesahau wakati nasari anachukua ubunge Wa arumeru mashariki ,watu walikesha mpaka kikaeleweka
 
picha ni muhimu sana mkuuu msitutenge tuliombali
 
Litarindima siyo kuzizima! (Kwa mujibu waRadio One leo jmosi kipindi cha kiswahili)
 
kama umechoka kuishi kwenye hii Dunia nenda na kanga au shati la CCM.

Kuna bibi mmoja juzi alipita sokoni akiwa amevaa kilemba cha CCM yaani ndani ya sekunde moja wataalamu walimvua na kumvalisha lemba lakinigeria lililofungwa vyema bibi alipendeza mpaka mwendo ukabadilika
 
Funga kazi ni Mwanza hapo kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…