Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Niko eneo la tukio, kuna nyomi ya kutosha ila bado mheshimiwa rais hajafika,wekeni namba niwatumie picha watsap. Kwa hili nyomi ccm tumeshikwa pabaya,kuna watu karbu milion 2 hapa.

tuma hapa mkuu 0754845332
 
SAM_0035.JPG

SAM_0042.JPG

SAM_0021.JPG
 
Tatizo la mawasiliano lilijotokeza pia jana hapa Mbeya ila Kamanda mmoja akanieleza ya kuwa "load" ilikuwa kuwa kuliko uwezo wa minara iliyopo eneo la mkutano. Mtaalamu mwingine atujuze
 
Hii ilikua njia panda ya KIA
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1439639176.280913.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1439639176.280913.jpg
    20.9 KB · Views: 803
  • ImageUploadedByJamiiForums1439639203.114606.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1439639203.114606.jpg
    6 KB · Views: 791
  • ImageUploadedByJamiiForums1439639236.746923.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1439639236.746923.jpg
    6.4 KB · Views: 770
  • ImageUploadedByJamiiForums1439639262.963393.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1439639262.963393.jpg
    5.3 KB · Views: 772
  • ImageUploadedByJamiiForums1439639293.879478.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1439639293.879478.jpg
    5.8 KB · Views: 752
Nasikia kuna mabomu ya machozi yamepigwa na polisi
 
MUSOLLIN5@
Kijana umetuangusha sana, Hivi unajua mateso unayo tupa sie wa mikoani? kama kuna msaada unahitaji ungesema ili tupate hizo picha na update nyingine tafadhali


Mkuu shida ni network leo ipo chini sana, ila picha zipo za kutosha.
 
Kifo cha ccm kimesharibia Arusha kumetapika ni zaidi ya mafuriko
 
Polisi wamepiga kidogo mabomu ya machozi lakini mambo yanaendelea kama kawaida, watu ni wengi sana
 
Back
Top Bottom