UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Nawaza kwa sauti kama Mkoloni angeendelea kututawala basi pale jangwani angeshajenga daraja, ila serikali ya ccm tangu imeingia madarakani wanapatazama tu pale hawachukui hatua sijui wanatuchukuliaje watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
DARAJA LINAJENGWA BAHARINI LABDA LITASAIDIA KUPUNGUA MAFURIKO JANGWANI

 
Aisee...

Kwa mwaka huu pekee mvua zimetupa hekaheka zaidi kuliko miaka yote.

Na bado hatujajifunza
Watanzania sio wafuatiliaji tu, hizi mvua TMA walishazitangaza na wakatoa tahadhari kwa mikoa ya kanda ya ziwa na ukanda wa pwani dar ikiwemo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar ilijengwa hovyo sana.


Dodoma imejengwa kwa mpangilio huwezi sikia kitu kama hicho cha mvua kidogo mafuriko siku tatu, Dar es salaam kila mtu kajenga anavyotaka nyumba zipo kama zilikuwa zinatupwa sio kujengwa.
kwanza dodoma hizo mvua zinatoka wap huko? Kukame balaa.
 
Mkuu Mwanza hii hii ya TZ..Kama haijatokea mahali ulipo basi usikatae.
 
Hahahaha hii bangi sio ya nchi hii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar ilijengwa hovyo sana.


Dodoma imejengwa kwa mpangilio huwezi sikia kitu kama hicho cha mvua kidogo mafuriko siku tatu, Dar es salaam kila mtu kajenga anavyotaka nyumba zipo kama zilikuwa zinatupwa sio kujengwa.

Nani kakudanganya, majiji kama London, New York, Florida, Beijing, Berlin nk yaliyojengwa kwa mpangilio yanapata mafuriko ndo Dar kushindwe kutokea? Kwanz ufahahmu kuwa Dar ni low land area kwahiyo mafuriko lazima kwasbabu maji yanatembea taratibu, Dodoma iko katika highland maji yanatembea haraka na hutoweza kuona mafuriko.

Mwisho ujue kuwa maji hayazuiwi na hufuata mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…