UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Watanzania sio wafuatiliaji tu, hizi mvua TMA walishazitangaza na wakatoa tahadhari kwa mikoa ya kanda ya ziwa na ukanda wa pwani dar ikiwemo
Nimekuelewa hoja yako Mamii.
 
Poleni aisee...huku Tanga mjini..leo tumeamka na kijiwingu hakuna jua..yaani burdan,mishe zinaendelea kama kawa..ila wingu bado lipo nadhani ni sababu ya hiyo mvua ya huko daslam...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…