UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Tango leo ndo litahusika, naliweka kwenye microwave kidoogoo linapata jotojoto, nalimassage na mafuta ya massage basiii....

Kifuatacho ITV .......
TUMIA TU MATANGO MAANA HAKUNA MTU ATAKUJA HUKO KWENU
 
Mbagala niliyopo imenyesha nje kumelowa ndembendembe... nimerudi kitandani kujilaza nimejigubika blanketi bwiiii.

Naperuuuzzzzzz na Kudaaadiiiizzzzzz
Duh, sasa unaingizaje kipato?

Huku wengine sisi ikinyesha tukafunga ofisi basi kwenye daftari upande wa kilichopatikana unasoma NIL.
 
Mvua kunyeesha kwa wingi hivi ni ishara ya kwamba Mbingu inaridhia Mh. JOHN POMBE MAGUFULI kuongeza miaka mingine 10 kuiongoza tena Tanzania...

Watanzania msipoteze nafasi hii adhimu ya kumruhusu Mh Rais kuongeza miaka mingine kuiongoza Tanzania..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali si shwari...pole kwa wote waliathirika na hii mvua
 
Maeneo haya kila mwaka.ni kawaida kujaa maji..... Plus na pamba house kule imalaseko


Bila kusahau cbe

Ila hakuna jitihada zozote miaka na miaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu,
Ila kuna dola million 100 kama sikosei ya mkopo world bank kwa taarifa zilizopo kuna nyuzi kama mbili hivi na kwenye mitandao kuhusu mradi wa Mto Msimbazi ambao unategemewa kumaliza hii kero kama mambo yakienda yalivyopangwa.
Ila kwa sasa kila mtu ale kwa urefu wa kamba wa kuchimba kifusi kwa kuchangishana wakuchimba mitaro haya ili mradi tu siku ziende
 
Back
Top Bottom